chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,212
Way home
Sasahivi hapa kwenye daladala nimemgusa bega abiria mwenzangu apunguze sauti ya simu yake maana anasikiliza mziki hadi kero.
Yeye kujifanya yuko busy hataki usumbufu akanipa elfu kumi bila kuniangalia akijua amempa kondakta...
Nimeamua kushuka kituo kilichofuata yeye atajijua na konda wake
Nimeanza mwaka vizuri upuuzii sitaki.