Kwenye Auditing hoja hujibiwa kabla ya report au Baada? Msaada pls

Kwenye Auditing hoja hujibiwa kabla ya report au Baada? Msaada pls

Usibwatuke mambo kabla ya kuyajuaa
Nimefanya kazi local government zaid ya miaka name. Niliacha kwa sababu ya ujinga na siasa. Ipo hivi mkifanya activity mna mandate yote ya hao watu baada ya kukamilisha una submit documents siyo lazima sana. Anachokifanya CÀG Ni cu very fy
Wewe ndo maana uliondoka huko kazini, unaonekana hautoshi kwenye nafasi yoyote ile. Sasa ndo umeandika nini hapa?
 
Wakuu kwa uelewa wangu mdogo mno wanapo kuja kufanya ukaguzi, na wakagundua kasolo kadhaa, huwa wanatoa muda wahisika waonyeshe Documents zinazo miss na kama wakizionyesha basi Auditor hu clear na wakishindwa basi kitu huenda kutolewa kama kilivyo.

Sasa kwa nini hoja za CAG zijibiwe baada ya report kutoka wakati kabla report haijatoka huwa kuna muda wa kuwasilisha vielelezo?

Report kutoka maana yake wahusika walishindwa kuwakilisha vielelezo husika sasa how come waviwasilishe sasa baada ya report kutoka?

Huku sio kutaka kupingana na report ambayo ni ya kitalamu na ina viwango kabisa vya IMF na World Bank?
Makini sana,huyo mama anatuhadaa badala ya kuchukua hatua, infact,hakutakuwa na jipya anaogopa kashifa kwa wateule wake walioshindwa kumsaidia,matokeo yake wanapora kodi zetu,ataishia kuwaumiza vidagaa tu
 
Wakuu kwa uelewa wangu mdogo mno wanapo kuja kufanya ukaguzi, na wakagundua kasolo kadhaa, huwa wanatoa muda wahisika waonyeshe Documents zinazo miss na kama wakizionyesha basi Auditor hu clear na wakishindwa basi kitu huenda kutolewa kama kilivyo.

Sasa kwa nini hoja za CAG zijibiwe baada ya report kutoka wakati kabla report haijatoka huwa kuna muda wa kuwasilisha vielelezo?

Report kutoka maana yake wahusika walishindwa kuwakilisha vielelezo husika sasa how come waviwasilishe sasa baada ya report kutoka?

Huku sio kutaka kupingana na report ambayo ni ya kitalamu na ina viwango kabisa vya IMF na World Bank?
1. Mkaguzi wa nje(CAG) anatoa taarifa kwa ofisi husika kwamba atakuja kufanya ukaguzi..anataja tarehe.
2. Tarehe za ukaguzi ikifika wataalamu wa ukaguzi wanakuja kwenye ofisi kaguliwa na kufanya kikao cha kujitambulisha na wataalamu wote wa ofisi husika. Wanataja maeneo watakayofanya ukaguzi na muda watakaotumia.
3. Baada ya ukaguzi mkaguzi/wakaguzi watafanya kikao cha kuaga na watasema wamemaliza ukaguzi wao..kama kuna taarifa hawakuzipata kikamilifu wakati wa ukaguzi wataziweka wazi na kutoa muda kwa ofisi hojiwa kutoa majibu au kuwasilisha vielelezo vilivyokosekana ndani ya kipindi fulani/ majuma mawili.
4. Baada ya hapo michakato inayoendelea ni ya Mkaguzi wa nje kupitia majibu aliyopewa na kuandaa taarifa yake ya ukaguzi ambayo hutolewa mwezi Machi ya kila mwaka.
5. Taarifa ikishatolewa hupelekwa kwa ofisi husika(iliyokaguliwa) ikionyesha hoja zote ambazo zilikosa majibu wakati wa ukaguzi.(Taarifa ya CAG kwa mwaka husika)
6. Baada ya kupokea taarifa ya Mkaguzi yenye Hoja, ofisi iliyohojiwa bado inayo nafasi ya kutafutia majibu/ vielelezo hoja zilizotolewa na Mkaguzi na kupeleka majibu au vielelezo hivyo kwa Mkaguzi..pale Mkaguzi atakaporidhika na majibu yaliyotelewa na mkaguliwa hoja hiyo/hizo hufungwa.

Kumbuka: vielelezo au majibu kutolewa baada ya ukaguzi kufanyika kunatokana na vielelezo au majibu kutokuwepo wakati wa ukaguzi na kupatikana baada ya ukaguzi.
Ahsante.
 
Sasa hii ya kutaka watendaji wajibu hoja za CAG imekaaje? Huu ni usanii mwingine unatengenezwa?
Labda ninkwa sababu ripoti kwa ilivyo haitoshi kubani wakosaji. Hivyo Rais amewataka makatibu wakuuu kuipitia report ili kubaini wanaostahiki kuwajibika.
Ni maoni yangu tu
 
Back
Top Bottom