Amatunda damu-eti ukiyala kwa wingi yanaongeza damu. Sijui nani alifanya utafiti kuthibitisha haya
Kwetu yanaitwa Ntuntunwa. Sikuhizi yameadimika sijui kwa nini.
Kwema ila Mhu joto na mvua basi. Ni kweli tukiwa wadogo tulikuwa tunaamkia kuangalia liloiva humo shambani. Mimi shambani kwangu nina miche miwili. Ila watoto wakitoka shule (kijijini) pale ndo stand ya mwanzo.Kwema huko dada? Jinsi maendeleo yanavyokuja ndivyo jinsi tunavyozidi kupoteza vitu vingi vya zamani
Yanaitwa ntunu ntunu
Poleni huko! Itunze vizuri kwa manufaa ya mbeleniKwema ila Mhu joto na mvua basi. Ni kweli tukiwa wadogo tulikuwa tunaamkia kuangalia liloiva humo shambani. Mimi shambani kwangu nina miche miwili. Ila watoto wakitoka shule (kijijini) pale ndo stand ya mwanzo.
Kwetu yanaitwa Ntuntunwa. Sikuhizi yameadimika sijui kwa nini.
Kwema huko dada? Jinsi maendeleo yanavyokuja ndivyo jinsi tunavyozidi kupoteza vitu vingi vya zamani