Kwenu waoaji 2021

[emoji23][emoji23][emoji23] toka umuoe haukuwa kutoka nje ila kabla ya kumuoa ulikuwa unapiga tu wengine fresh , sasa hauoni kuwa umeoa wa kuendana na wewe?

Yeye mwenyewe unakuta alikuwa anaficha mambo yake tu , sasa ndo ukaja kuona hadharani.
Ila yeye nilimkuta bikra kabisaa!!
 
Mkuu unaoa mwanamke mwenye akili ya maisha ili akusaidie kukumotivate kuendeleza mola alichokujaalia hapa duniani. Akili ya life ndio kila kitu.Alafu mkuu umeongea kwa hisia sana [emoji23][emoji23] mwanamke anakubadilikiaje wakati wewe ndio baba utakuwa ulikuwa humkazi vizuri unatakiwa usugue hadi usikie haruf kama ya nyama kuungua [emoji23]just kiding... Maisha ndiyo haya haya naoa hili toto la kichaga soon mkuu imeisha hiyoo!
 
Unaambiwa watu waombeee sanaaa hiyo product wasichana na wanawake single wengi wasiijue bongo hapa 😂😂😂😂
 
Sijui mkuu!! kiweke ktk lugha rahisi!!
Nimeweka picha hapo juu hiyo ni vidonge viwili pamoja na jell yake ambayo wanawake ambao wanataka kuonekana wao wana bikra huwa wanaitumia kutengeneza bikra feki na pia jell yake inafanya uke ubane kwa muda fulani nadhani ni dk 30 hadi lisaa.

Na hapo ndipo wengi huchapwa .
 
Mkuu naona mengine ni yandani mno!! uyalete pm!
 
Upo sawa kabisa. Yaani ni fact 100%
 
Subiri uje kutia huruma hapa JF. Mke mwema anatoka kwa Mungu. Angalia tu usije kujuta. Mifano ni mingi sana ila nakuona kama hujali maonyo ya wadau.
 

Mkuu mkeo ni Nurse wa Hosp gan?
Na Hiyo ni hulka na tabia yake binafsi sio ya Nurses wapo Nurses wengine ukioa utafurahi tu mwenyewe
 
Mtoa post mm nakupa pole kwa uliyokutana nayo, pia nakupa pole sana kwa kupotezewa muda wako mwingi,,binafsi nakubaliana na wewe 100% kwa ulichokiandika juu ya hawa manesi,tena ukianza nao hujifanya wema sana na wanaojali sana ,utasikia ooh mpaka tupime,kumbe wao ndio hovyo kabisa
 
Kama ulikuwepo vile. Wanajifanya wanajari lakin ukikaa nae muda wa kutosha ndio utajua kuwa MANESI ni version nyingine ya mabaa maid tu!
Kulala na mteja kwake ni Kama sehemu ya kazi

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Subiri uje kutia huruma hapa JF. Mke mwema anatoka kwa Mungu. Angalia tu usije kujuta. Mifano ni mingi sana ila nakuona kama hujali maonyo ya wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…