Kwenu wanawake/ akina mama

Hata mama yake aliyemzaa..ni shetani..sasa huyu mlete uzi kazaliwa na mama shetani yeye atakuwa nani?

mtoto wa nyoka ni nyoka.. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio wapo Mashoga wanaoliwa na wanawake. Unasemaje ?
Hivi unaelewa hata unachoongelea au unaongea tu ilimradi umeweka neno "wanawake"?

Mwanamke na mwanaume hiyo ndio inayotakiwa, sasa wakikulana hapo shida iko wapi?
 
Kwaiyo unasema mtu akisaliti auwawe...au ke au me?...HUWEZI KUsema roho mbaya Ni ya mwanamke kwasababu...hiyo elfu hamsini nayo ilimuuma sidhani Kama alikusudia kumua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is sad,....tusinyoosheane vidole hili wote wanaume na wanawake tuko responsible kulikemea...
 
Aliyepata fursa ya kusoma na kuelewa hii makitu anipe ufafanuzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…