Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,361
Sema kwa suala la kutesa wadada wa kazi..wanawake mnaongoza aisee..siongelei kuua....kama vipigo na matusi na kunyanyaswa hawa dada wanapitia sana..sema ndo hivyo....Wanawake wengi wapo kimya??? Una uhakika au unabwabwaja tu ndugu. Muwe mnaongea kitu cha uhakika..mitandaoni wengi waliolizungumzia na kulikemea ni wanawake.
Hebu nionyeshe mwanaume aliyelizungumzia hili tukio kwa kukemea nimjue.
.
.
Acheni chuki za kijinga against wanawake. Binadamu yoyote yule anaweza kuwa na roho mbaya. Ina maana hakuna matukia ya kutisha yaliyotendwa na wanaume. Nyie mnajiona malaika sana..kwa lipi?
PUMBAVU ZENU WOTE WENYE MTAZAMO KAMA WAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai. Lakini kugeneralize kuwa ni wakatili kuliko wanaume ni kukosa akili.Sema kwa suala la kutesa wadada wa kazi..wanawake mnaongoza aisee..siongelei kuua....kama vipigo na matusi na kunyanyaswa hawa dada wanapitia sana..sema ndo hivyo....
Hata huyu huyu dada asingefariki angeendelea tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuwasemea saivi ndo mmeamka eenh??Sikatai. Lakini kugeneralize kuwa ni wakatili kuliko wanaume ni kukosa akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmelizungumzia wapi hili swala??Wanawake wengi wapo kimya??? Una uhakika au unabwabwaja tu ndugu. Muwe mnaongea kitu cha uhakika..mitandaoni wengi waliolizungumzia na kulikemea ni wanawake.
Hebu nionyeshe mwanaume aliyelizungumzia hili tukio kwa kukemea nimjue.
.
.
Acheni chuki za kijinga against wanawake. Binadamu yoyote yule anaweza kuwa na roho mbaya. Ina maana hakuna matukia ya kutisha yaliyotendwa na wanaume. Nyie mnajiona malaika sana..kwa lipi?
PUMBAVU ZENU WOTE WENYE MTAZAMO KAMA WAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka utuone wapi mkuu? Hao wanaume kwani wamelizumgumzia wapi?
Huyo kwenye picha ni muuaji au aliyeuliwa ?Aisee upo sahihi kabisa.
Yule Mwanamke ni MUUAJI KABISA, yaani umfanyie binadamu mwenzio vile kisa elfu 50
Mwanamke katili sana, amewadhalilisha WACHAGA wa Rombo
Sura nzuri ila Roho Mbaya kama shetaniView attachment 1388755
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua kidogo mkuuEmotional creature...
Muddy hakuwa na roho mbaya?"Na utakoma leo"
Alisikika Mwanamke mmoja akimtamkia mwanamke mwenzie kwenye Video ya Muddy
Nyie hadi watoto wenu.lolRoho mbaya Haina jinsia...hao wanaume Wanao ua wake zao na kuwachoma na gunia la mkaa unawwzungumziaje...ROHO MBAYA HAINA KWAO
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhAhsante sana kwa kutujumuisha wanawake wote kwenye hili, alitenda ukatili ndiyo! Hilo ni kweli na hakika!!
Kemea uovu na ukatili lakini wewe hii ni chuki kabisa dhidi ya wanawake wote sema ulikosa platform ya kutoa machungu yako!!
Ila ni sawa leo utalala salama dukuduku umelitoa.
Kwa niaba ya wanawake wakatili naomba radhi, mtusamehe na Mungu uturehemu tumekutenda dhambi, tunaingamiza dunia, tumemwaga damu isiyo hatia 😭😭
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Muddy alikua anatekeleza tu wajibu wake wa kuishi nao kwa akili.
Ndio wapo wanaoliwa na wanawakeKwani wanaowakula mashoga ni wanawake?
hehehehRoho mbaya Haina jinsia...hao wanaume Wanao ua wake zao na kuwachoma na gunia la mkaa unawwzungumziaje...ROHO MBAYA HAINA KWAO
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi wamelizungumzia hilo swala ??Wanawake wengi wapo kimya??? Una uhakika au unabwabwaja tu ndugu. Muwe mnaongea kitu cha uhakika..mitandaoni wengi waliolizungumzia na kulikemea ni wanawake.
Hebu nionyeshe mwanaume aliyelizungumzia hili tukio kwa kukemea nimjue.
.
.
Acheni chuki za kijinga against wanawake. Binadamu yoyote yule anaweza kuwa na roho mbaya. Ina maana hakuna matukia ya kutisha yaliyotendwa na wanaume. Nyie mnajiona malaika sana..kwa lipi?
PUMBAVU ZENU WOTE WENYE MTAZAMO KAMA WAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio umeongea nini[emoji1745][emoji1745][emoji1745]Ndio wapo wanaoliwa na wanawake
And Of Course 80% ya mashoga wanawatengeza na wanawake
Japo hii sio Mada ya hayo Mambo
Wanawake wengi wapo kimya??? Una uhakika au unabwabwaja tu ndugu. Muwe mnaongea kitu cha uhakika..mitandaoni wengi waliolizungumzia na kulikemea ni wanawake.