Kwenu wanaume wenzangu wooote!!

Kwenu wanaume wenzangu wooote!!

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395

Umemdanganya mtoto wa watu unampenda, akakuamini, akasahau hadi tarehe akaona zote ni February 32.

Umempa mimba mtoto wa watu mzuri tu, amehenyeka na mimba miezi 9 amekuzalia mtoto..

Ghafla umemtelekeza eti huna plan nae, eti sio chaguo lako, eti mimba ni bahati mbaya tu hukupanga...

Uongo mtupu na ghiliba za nyani mzee. Ulivyokuwa unapewa tunda
bure, unakatika kwa spidi kama umefungwa injini ya boti ya Horsepower 6 ulitegemea nini?

Mbona wanaume tunakuwa migumegume hivi lakini?

Mtoto wako mwenyewe hata hujui anakula nini, anavaa nini.......kweli?

Unatanua na mademu wengine
mwanao hujui anaumwa, katibiwaje, kapona au lah kweli?

Mngefungwa uterus japo mkae na mimba wiki 3 kama panya mngejifunza kuacha upuuzi huu.

LEA DAMU YAKO,we si kidume?
Wanaume wa dizaini hii ni aibu kwa taifa. Ukijifanya Fundi wa kukatika kama Fally Ipupa uwe pia fundi wa kulea!

Ukichukia Poa tu lakini mi nimemaliza.
 
Mmmmmh! Ukweli nao nigani? Umenichoma main hope ninapumulia mashine nitapona, kwangu ni shule I will do what I'm supposed to do.
 
kweli kabisa mkuu,naona hiyo tabia imeshamiri siku hizi. Mtu unammimba binti wa watu na kumuacha bila msaada.
 
Umemdanganya mtoto wa watu unampenda, akakuamini, akasahau hadi tarehe akaona zote ni February 32.

Umempa mimba mtoto wa watu mzuri tu, amehenyeka na mimba miezi 9 amekuzalia mtoto..

Ghafla umemtelekeza eti huna plan nae, eti sio chaguo lako, eti mimba ni bahati mbaya tu hukupanga...

Uongo mtupu na ghiliba za nyani mzee. Ulivyokuwa unapewa tunda
bure, unakatika kwa spidi kama umefungwa injini ya boti ya Horsepower 6 ulitegemea nini?

Mbona wanaume tunakuwa migumegume hivi lakini?

Mtoto wako mwenyewe hata hujui anakula nini, anavaa nini.......kweli?

Unatanua na mademu wengine
mwanao hujui anaumwa, katibiwaje, kapona au lah kweli?

Mngefungwa uterus japo mkae na mimba wiki 3 kama panya mngejifunza kuacha upuuzi huu.

LEA DAMU YAKO,we si kidume?
Wanaume wa dizaini hii ni aibu kwa taifa. Ukijifanya Fundi wa kukatika kama Fally Ipupa uwe pia fundi wa kulea!

Ukichukia Poa tu lakini mi nimemaliza.

Ni kweli Revocatus Kashaga, ni vyema kuheshimu hisia za watu wengine na mapenzi yao kwetu na siyo kumweleza mtu kuwa unampenda na kumfanya akupende halafu baadaye unamtelekeza, ni jambo baya lisilo la kibinaadamu! Hapo penye nyeusi nilistuka nikafikiri umenitaja, lohhhh!
 
he he he he chineke!!
Wape wape wape hao kwa kuongezea kajifungua hata pampers hajui inauzwa sh ngapi akishafikisha miaka 3.
Atajitia kumdai mtoto na kujisifia kwa watu'mke wangu ana photocopy machine chini huoni mtoto huulizi kama mimi ni baba yake'
 
hhaahaa umeona eeeh??? kazi yangu ni kuelimisha jamiii amu
 
Last edited by a moderator:
word..af mtoto akikua linaanza kumfatilia..ooh mwanangu huyu na blabla nyiingi..upambav kabisa
 
THENKIU SOO MACHI MDAU!!!!!!!!!!!!!!

Ladies this calls for some serious ATTENTION and RELAUNCHING!!!!!!!!!!!!!! Its time you re-invest yourself.

WANAWAKE WENZANGU

1.Never ever trust a man! Mtu unaambiwa baba ndo Mungu wako 2 wa duniani, afu mungu huyo muwakilishi wa duniani unaemuona kakukataa, wengine wapo kiushahidi tu. wengine ndo vile maza kinganganizi lasivo ....... are you still believing????? Dont even try to relate Our mighty father in heaven with these excuse of fathers of this world! Trust me if you think critically the church wont see ya sorry a.ss for a longtime.

2.Usizae kumtegemea mtu! Utapaukaje sasa? Afu its very selfish of you kumleta mtu duniani afu hujui utamuwezeshaje aishi comfortably? I dont know abt u guys but for me it being over selfish.

3.Pray harder mpate watu mliopangiwa na Mola! I have stopped believing in Husband sent from the above for u since ages ago! And i seriously dont believ an excuse of a husband/man can ever change! A leopard can change its sport but certainly not spots!!!!!!!!!!!! Not to mention mtoto wa nyoka ni ...........!!!!!!!!!! (You dont have to agree with me they say IF U BELIEVE ANYTHING CAN HAPPEN!)
 
Mtoa mada umetonesha vidonda na makovu
 
^^
Hapo no 1
Wapo tunaoaminika lakini kwa kuwa kutoaminiana kumezidi,,tumepakwa jivu tu hatuonekani.
Hapo no 2
Kama mimba umepata usiitoe kwa kisingizio cha kukosa matunzo ya baba wa mtoto.Tenda fadhila kwa kutimiza agizo la Mungu.
^^
 
Kiukweli hata tupige kelele hapa jukwaani, Haya mambo yapo.
  • Kiwango cha mwanaume kuhusika kama si wanandoa na binti anakaa nyumbani ni cha mashaka kutokana na kuhofia maisha yake.
  • Na pia wengine kuingia kwenye mapenzi bila kujua kuwa "with power comes responsibility" watu wengi wanao husiana kimapenzi (% kubwa sana) bado uwezo wa majukumu yatokanayo na mambo hayo ni mdogo sana/haupo kabisa.
  • Utayari wa kupokea majukumu kwa watu wote(waume kwa wake ) umepungua sana duniani. hata hao wanaopewa mimba wangeweza kukimbia sema ndo hivyo mimba wanayo wao. Pia ndo maana mimba zinazotolewa kwenye 'situation' hizi ni nyingi kuliko zinazobaki.
  • Binafsi nitalaumu mfumo mzima wa dunia ya sasa unaopromote kuwa wabinafsi na kujali sana hela...utu wa mtu umeshuka thamani hasahasa kwa misemo 'raha jipe mwenyewe','laki si pesa'. Pia wasichana mwenyewe wasumbufu kila saa anataka hela kiasi kwamba hata mwanaume anakimbia, ukimpa mimba ndo kama kaolewa wakati alikuwa nakugawia kishkaji na dharura ikawa hiyo.
 
Ni kweli Revocatus Kashaga, ni vyema kuheshimu hisia za watu wengine na mapenzi yao kwetu na siyo kumweleza mtu kuwa unampenda na kumfanya akupende halafu baadaye unamtelekeza, ni jambo baya lisilo la kibinaadamu! Hapo penye nyeusi nilistuka nikafikiri umenitaja, lohhhh!

hahaa pole sana bwana HorsePower sikutaka kukutaja
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom