Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
hahahaaaaaaaaaa too bad Mushi ametangulua mbele za haki ungem consult huyo akwambie
Umeona wapi adui anakugawia silaha ili umtwange nayo..???Njoo nikupe bei ya AK47.
Mtu akikunyang'anya joho mpe na kanzu pia, akikulazimisha kwenda naye maili 2 nenda naye maili 4 na pia akikupiga kofi shavu la kushoto mpe na la kulia pia.Umeona wapi adui anakugawia silaha ili umtwange nayo..???
CC Heaven on Earth
Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... ishia hapo hapo..... Kwa hiyo mwanaume akikugegedea mkeo, unampa na dada yako amgegede..??? Ya kanisani yaache huko hukoMtu akikunyang'anya joho mpe na kanzu pia, akikulazimisha kwenda naye maili 2 nenda naye maili 4 na pia akikupiga kofi shavu la kushoto mpe na la kulia pia.
Umeona wapi adui anakugawia silaha ili umtwange nayo..???
CC Heaven on Earth
Huwezi kunisaidia kumuuliza Ufoo?
Mtu akikunyang'anya joho mpe na kanzu pia, akikulazimisha kwenda naye maili 2 nenda naye maili 4 na pia akikupiga kofi shavu la kushoto mpe na la kulia pia.
Kunawatu washinda kwa waganga ili waolewe.tena wengine wako ktk ndoa za mafungu,mume mmoja wake watatu mpaka wanne wote wanashea uume mmoja. Leo wewe wasema mume sio issue,kwa uzoefu hizo ni kauli zenye kuonyesha kukata tamaa!unasema kwa sababu kakuna mtu mwenye dalili za kupropose. HUTAKI MUME BASI VAA SHERA NENDA KANISAN/MSIKITIN KISHA KATAA KUOLEWA.HAPOTUTAJUA UMEAMUA!!
are u sure??!!!!!!! au umetona wadada wote hamnazo???????!!
Ukishaolewa, kids follow and a lifetime of happiness. Marriage is beautiful. Find a man settle down. Money aint everything.
We cheka tuu na huyo huyo sijui girafi sijui grafani11, zamu yako ya kulia itafika... na mla mbuzi huwa analipa hata ng'ombehahahaa naona uko well equiped kwenye mistari......................
mnanichekeshajeee
Na bado ninazo, kuzimaliza hadi nipate bastolasidhani kama atakuwa anajua..ulikuwa na hasira hadi umesahau kukuza font za maneno + bold
Nikiwa na wewe Malkia wangu lazima nitakuwa deep tu.hahahaa naona uko well equiped kwenye mistari......................
mnanichekeshajeee
Kuyaacha huko huko itakuwa ngumu. Mungu ni kila kitu kwangu na heaven on earth ni malkia wangu wa duniani.Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... ishia hapo hapo..... Kwa hiyo mwanaume akikugegedea mkeo, unampa na dada yako amgegede..??? Ya kanisani yaache huko huko