Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,836
lara 1 nimeguswa na maneno yako ya paragraph ya tatu!,really uko vzuri Lara 1,unaishi jimbo gani tuaangalie namna ya kukupa uongozi?Mmmmmmmmmmmh! IT WAS GOING WELL UNTIL ULIPO DISCLOSE THE END YA KUFANYA YOTE HAYO NI ILI UOLEWE!!!!!!!!! Pleaseeeeeeeeeeeeeeee!
Pardo me in advance beacause MY HUMOR HAS NO SENSE AT ALL lakini WHY SHOULD YOU DO ANYTHING ILI UOLEWE? Shouldnt it come NATURAL?
Una some valid points hapo, sana tu but for me it would have made more sense kama ungesema WANAWAKE WAFANYE HIVO OUT OF PRINCIPLES TU!!!!!!!!!!!! Sababu wanaume pamoja na kuwa ATM in the end ni binadamu wenzetu, they have feelings and they do need compassion from time to me.
THY SHOULD NOT COMMIT AGAINST THEE WHAT THY DOES NOT WISH COMMITTED AGAINST THY! Logica explanation.
From time to time try to ask yourself UKISHAOLEWA THEN WHAT?
....upeo naomaanisha sio wa kujua vitu...yaani upeo wa maisha....mama zetu walikua na upeo mzuri wa maisha( japo nyakati zimebadilika)....yaani unaweza kukutana na mtu...yeye anachukulia maisha kirahisi rahisi tu....kichwani kajaza kuhongwa hongwa tu....kutongozwa tongozwa tu....(sijui nikueleweshe vipi).....lakini ndo type hizo...yaani maisha HALISI anayaangalia kwa mtazamo tofauti sana....mpaka unabaki unasikitika...kuna wengine ukiwaambia unamfungua akili...kuna wengine ujuajii mwingi...wa maisha ya kujifunza facebook, nstagram na jf....
Upo ma dia. Miss u
Hizo kauli zako mbona zinakinzana?
Huyo huyo atikise wanaume
Huyo huyo achezewe na wanaume kama yeye
Huyu huyo anataka kuhudumiwa na wanaume gani?
Kwa hiki ulichokiandika, sidhani wewe ni mdada.Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima, sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
Mmmmmmmmmmmh! IT WAS GOING WELL UNTIL ULIPO DISCLOSE THE END YA KUFANYA YOTE HAYO NI ILI UOLEWE!!!!!!!!! Pleaseeeeeeeeeeeeeeee!
Pardo me in advance beacause MY HUMOR HAS NO SENSE AT ALL lakini WHY SHOULD YOU DO ANYTHING ILI UOLEWE? Shouldnt it come NATURAL?
Una some valid points hapo, sana tu but for me it would have made more sense kama ungesema WANAWAKE WAFANYE HIVO OUT OF PRINCIPLES TU!!!!!!!!!!!! Sababu wanaume pamoja na kuwa ATM in the end ni binadamu wenzetu, they have feelings and they do need compassion from time to me.
THY SHOULD NOT COMMIT AGAINST THEE WHAT THY DOES NOT WISH COMMITTED AGAINST THY! Logica explanation.
From time to time try to ask yourself UKISHAOLEWA THEN WHAT?
Kwa kizazi hiki ndo basi tena washapotea labda wafundishe watoto wao
Kuna vitu UNACHANGANYA! SHULE SIO KIPATO ASILANIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!
Kuna watu tunakaribia ku apply PHD ila ndo TUNASHNDA TUNAANGALI TELEMUNDO my heart beats for Lola, tunaishi mjini kwa MAHEABU MAKALI na HISANI NENE za wadau! Jitu lina MASTERS linaagiza hela NYUMBANI KWA DADY NA MAMY!
Ila kuna ma FIGHTER STD 7 unapanga FOLLENI kwao! Wako vizuri balaaaa! Wamejipanga! kuna jimama mtaani kwetu lina saluni tu linapamba maharusi, lowest income per week ni 1M. wakati mie kazini kwangu kabla sijasusa kufanya kazi yeyote sijui nitaufikia lini huo mshahara kwa MWEZI MZIMA!!!
SO KUTOENDA SHULE HAIGUARANTEE UTAKUW TEGEMEZI, NA KWENDA SHULE SIO KUTOKA KIMAISHA! MJINI MIPANGO!
Huwa nawaambiea washkaji zangu kwa uzoefu wangu siku hizi...unaweza kuona mwanamke mzuri...kajaza vizur....umbo zuri9(hips safii)..boobs si mchezo..lakini ukikaa nae dk tano tu...ukicheki uelewa wa mambo na attitude una kuta HAMNA kitu.....very poor...ndo tatizo naloona siku hizi....ukikaa ukiongea nae unakuta bure kabisa....
lara 1 nimeguswa na maneno yako ya paragraph ya tatu!,really uko vzuri Lara 1,unaishi jimbo gani tuaangalie namna ya kukupa uongozi?[/QUOTE]
Ati nini...wa siasa ama????? unataka mfuko wa maendeleo wa jimbo wote uishie make ups,gucci handbags na dolce & gabbana clothing line...
ni kweli. Ila sometimes men are couser of this.Mimi huwa nawashauri wakina dada...kama kuna kitu wangefanya kwa maisha yao...ni kuipa thamani kubwa PAPUCHI zao...sema wengi wanaziachia mno....wanajirahisiha sana...sana yaani.....
ni kweli. Ila sometimes men are couser of this.
It hard to know a good man. Damn
umeona eeerhCross ur legs dada,If u've been into several relationships pumzika sasa maana those men out there have no mercy!!Unaeza dhani wapendwa ukajiachia kumbe anachokiwaza mwenzako ni tofauti kabisa.