Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,017
- 3,656
Kuna taarifa nchi imepokea na itaendelea kupokea misaada kwa njia ya mkopo! Sina uhakika kama Wabunge mlishapitisha sheria kuhusu uombaji na usimamizi wa mikopo tunayopewa toka nchi mbalimbali.
Nchi nyingine zimeanza kubandikwa majina "nchi rafiki" kwa vile tu zimetema mapesa,wakati hapo awali ziliitwa "nchi maadui". Isitoshe,tumekuwa na ongezeko la deni la Taifa ambalo walipaji ni sisi wenyewe.
Ni busara mkopwaji (sisi) kuwa na malengo katika ukopaji,na tukopeshwe na marafiki wa kweli katika hali ya uwazi kulingana na malengo tuliyojiwekea!
Hapa ninaona umuhimu wa Wabunge kusimama kwa niaba ya wananchi,na siyo kuiachia serikali kulundika madeni ambayo mlipaji ni mwananchi. Yawezekana,ni kweli au si kweli mikopo hii ikawa mismanaged!
Mfano,tumekuwa na miradi mikubwa ya maji kwa pesa ya mikopo. Baadhi ya miradi imekuwa white elephant,huku tukilazimika kulipa madeni!
Walioiidhinisha tayari hawako madarakani tena! MPs please make a sharp eye on this!