Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Habari zenu JF.
Nami nimeona niwawekee hili humu ili niwaone wenzangu wasiokubali yawapite!!
Ni vipi utaweza kugawia namba 80 kwenye makundi manne...ambapo kundi la kwanza namba hiyo (i)uigawe kwa 3.
Kundi la pili namba utayoipata (ii)uitoe kwa 3:
Kundi la tatu namba utayoipata (iii) uizidishe kwa 3.
Kundi la nne ndio la mwisho...namba utayoipata uigawie kwa 3.
Malengo:
Ili kila jawabu utalolipata liwe sawa sawa na kundi jingine.(majibu yafanane).
Nawakilisha!.
Ahsante nmerekebisha!Mkuu naona tatizo ni lugha hapo kwenye red pana mushkeli kidogo.
Hongera!Let the number be x
therefore x/3+(x/3-3)+(x/3+(x/3-3)3)+(x/3+(x/3-3))=80
jaribu kufanya hii hsb utapata jibu very simple algebra wanajf acheni uvivu!
Actually ni elementary algebraLet the number be x
therefore x/3+(x/3-3)+(x/3+(x/3-3)3)+(x/3+(x/3-3))=80
jaribu kufanya hii hsb utapata jibu very simple algebra wanajf acheni uvivu!
Congratulation Member!Mkuu...jibu lake ni
(1) 45 / 3 = 15
(2) 12 + 3 = 15
(3) 18 - 3 = 15
(4) 5 * 3 = 15
45 + 12 + 18 + 5 = 80
there you go!...siku njema
Tufafanulie tafauti hizi mbili mkuu!hizo sio hesabu ni hisabati
Mkuu...jibu lake ni
(1) 45 / 3 = 15
(2) 12 + 3 = 15
(3) 18 - 3 = 15
(4) 5 * 3 = 15
45 + 12 + 18 + 5 = 80
there you go!...siku njema