Kwenu na kwetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwenu na kwetu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Jan 5, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Kwetu uswahilini, kwenu ushuani.
  Kwetu kitambi dili, kila mtu anajua una hela.
  Kila msichana atataka kuwa na wewe.
  Kwenukitambi kero na udhia, eti mnalipa mahela kibao jim kukiondoa.
  Kwetu tunakula kila tukionacho, nyie mnachagua vyakula eti mnamentain figa.
  Kwetu msomi kaishiakidato cha sita, kwenu mbumbumbu ndio kahitimu digirii yake ya kwanza.
  Tuna tofauti nyingi sana, je haya mapenzi kati yetu yaweza kudumu?
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  as long as mnapendana hizo zingine kelele tu
   
 3. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Hivi Mwaka 2011 kila memba amebadili Avatar yake?? Ngoja na mimi nifanye mchakato

  Happy New Year Buji...

  Ngoja niongoze misa ya asubuhi kwanza, will be back
   
 4. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Bujibuji vipi?
  Umeanzaje kufuata watoto wa ushuani? We si ndio kila siku huwa unausifia utamu wa kuku wa kienyeji?
  Sasa imekuaje umefuata kuku wa kisasa tena aliyekaa muda mrefu kwenye friji?
  Nakushauri tu urudi kwenye walewale wa uswahilini kwenu, huko uzunguni utafeli kwa kuwa huna viwango.
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tanadumu
  kwan mkilala na mkeo kitandan pale wewe unakuwa umeshika chet chako cha mastaz na yeye anashika chet cha darasa la 7?asi mnakuwa mikono mitupu NAKED as it is?sa kivp ELIMU IHUSIKE?
  yanadumu km mmependana.
   
 6. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Bujibuji achana naye huyo atakufanya sex toy tu, hamna mapenzi hapo. anakupenda sababu ya body show lako!
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  yaani huyu binti nampenda ile mbaya.
  kiasi kwamba sitaki nimkose hata nukta moja.
  kwa mara ya kwanza maishani mwangu jana ndio nimekula chokoleti.
  bwana ehh
   
 8. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Chokoleti gani mkuu?
  Mtundu sana wewe mzee, mara hii umesha mkimbizia mtoto wa watu kitandani?
  [​IMG]
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280

  same to you.
  askofu, nakutakia kila la kheri katika mwaka huu.
  nakuombea ukawe wa mafanio na neema za kila namna.
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ma singles tupe details kidogo mkuu
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ndiye huyu?
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Kiranja mkuu ana matatizo yake.
  Huyo sio wangu, labda kama ni wa kwake.
  Wangu yuko moyoni, nausubiri kwa hamu muda muafaka utimie ntawatambulisheni.
  Ngoja kwa sasa nizishinde hofu za tofauti zetu.
   
 13. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kitakachoamua hapo ni kitanda tu!
   
 14. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  LEO KAZIII!!!!! :whoo::whoo:
   
 15. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kama ni huyo chakachua mkuu :whoo:
   
 16. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  huyo wa kwenye picha si mtangazaji wa mataarab.
  angalia usije ukapotea, sifa zinavuma mji mzima, nakushauri tu angalia mwingine
   
Loading...