Kwenu mnaoficha idadi ya watoto wenu

Kwenu mnaoficha idadi ya watoto wenu

Mmama kaumbuka vibaya ni aibu, maana raia wamejazana kwake si kwaajili ya kumfariji bali ni kumsanifu tu,


kweli Mungu fundi,

Hata kama alificha ana sababu ya kuficha ila watu kwenda msibani kwa lengo la kumsanifu haijakaa vizuri kabisa.

Huyo mama kampoteza mtoto wake, haijalishi hakusema kweli ila huyo mama amempoteza mtoto wake na ana maumivu moyoni. Ni bora kutokwenda msibani kuliko kwenda kwa lengo la kumsanifu. Wafanye kazi nyingine waache unafki.
 
Back
Top Bottom