Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,038
- 2,190
Jmn rangi kama hiyo ukutani Ili ipendeze urembo wa madilisha nichanfanyia rangi gani?
Bat kuw gray sio kizuizi. Kwa mana rangi hiyo iliyopo kwenye ukuta inadai rangi hafif machon ili madirisha ipendeze.bati tayari ni gray
Hakuna kitu ( materials hizi za rangi na skimming) kinaweza kuzuia maji na unyevu unyevu, muhimu ni kuzuia maji maji kutokufika kabisa au yakifika yasikae ukutani au kuleta ubichi ubichi ukutani. Utadanganywa na waganga njaa wale pesa yako bure mwisho wa siku tatizo linarudi tena.Jamani hii white skim wall putty inazuia unyevu nyevu na chumvi kwenye kuta?
Vipi kama ulishapiga skiming ya kawaida, unaweza ipaka kwa juu?
Skimming hiyo ya kawaida ulitumia material gani ? Maana nje gypsum powder haifai hata siku moja, inayofaa ni hizi wall puty kama white skim, jk wall puty, white cement, cement ya kawaida, nk nkJamani hii white skim wall putty inazuia unyevu nyevu na chumvi kwenye kuta?
Vipi kama ulishapiga skiming ya kawaida, unaweza ipaka kwa juu?
Hii white skim wall putty unachanganya na rangi au maji tuu?Skimming hiyo ya kawaida ulitumia material gani ? Maana nje gypsum powder haifai hata siku moja, inayofaa ni hizi wall puty kama white skim, jk wall puty, white cement, cement ya kawaida, nk nk