Kwenu kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya kinondoni

Mshobaa

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
1,678
595
Wakuu natumaini wote mpo salama...bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,,,hivi karibuni kumeibuka kikundi cha uporaji wa Aina yake nyakati za usiku kuanzia saa nne na kuendelea ukilenga maduka ambayo yanakua wazi mida hiyo,staili wanayokuja nayo ni kwa kutumia pikipiki mbili au zaidi na wanakua na bunduki kila mmoja wao,wakifika huwaweka chini ya ulinzi watu wote eneo hilo,husachi kupora kila chenye thamani eneo hilo na hasa target yao ni Maduka yanayokua wazi mda huo huondoka na mauzo yote ikiwemo voucher na kila cha thamani chenye kubebeka kirahisi walidiriki hadi kuiba jirani kabisa na kituo kidogo cha polisi kilichopo mtaa wa dossi magomeni na kuwapora watu waliokua wananunua mahitaji duka la jirani na hapo.. Ombi langu kwa askari wa kituo kikuu cha Polisi magomeni wangejitahidi kuweka doria wawanase hao wahalifu wanaoharibu taswira ya Magomeni hasa Mapipa kuliko kupita na defender na kuwaamuru wafanyabiashara kusitisha biashara saa nne kamili kwa kuhofia hao wahalifu..
natumaini ujumbe wangu utawafikia walengwa na kuufanyia kazi
 
Mliomcheka yule mjelajela kule Butimba sasa mnaktana na majambazi kazini.Mlimuona anaonea watu mbaya anakiburi sana nyie mnajua haki za binadamu .Mkatengeneza kampeni Kali kweli watoke hao kwa mihemko bila kuzingatia usalama wala taaluma na ushauri wa walinzi wetu mkawarudisha mtaani kwa mbwembwe sasa kazi ni kwenu Yule Mjela jela anachea bafuni tu.Haaaaaaa.
 
Back
Top Bottom