Kwenu akina dada maneno yenu yamenichosha

Yamekufika umeamua kujiachia na kufunguka hapa
za asubuhi, hivi akina dada/wamama waliomo humu jamvini mna matatizo gani? Naombeni niwaulize hilo kwanza then nitaendelea kufafanua kwanini nimeuliza swali hilo, hivi kama mtu ana jambo la msingi linalomsumbua moyo wake na amefunguka hapa jf akitegemea majibu mazuri na mafanikio makubwa kwa mada aliyoileta lakini mwisho wasiku anaambulia luga chafu, maneno ya kejeli na sifa za kijinga.kwa mfano jamaa anatafuta mchumba ili amuowe. Mwisho wa siku majibu yanaishia kwa kuhoji harakaharaka una sura nzuri, salary slip yako inasomaje, weka picha, una nyumba,gari oh mara ana sura mbaya... Oh mara mzee sana, huko mtaani hujawaona nk, kwani huwa ni lazima upate mke kutoka mtaani kwako? Je ni wangapi leo hii waliokutana sehemu mbalimbali kama vile kwenye baa, kwenye basi/daladala, mashuleni, kwenye mitandao nk na sasa ni mume na mke? Je kweli kwamba wadada waliomo humu jf hamuhitaji kuolewa? Na je mnaouliza sura nzuri zakwenu zikoje? Na mnaouliza cash kwani mwanaume ndiyo atm yako? Kwani uzuri wako unasaidia nini kwenye maisha na maendeleo ya familia yenu? Ni vema kama wewe huna hitaji hilo au tayari unaye wa kwako ukatulia na wale wenye hitaji watajitokeza kwa maana hii kazi ngumu ya kutafuta mke wamepewa wanaume lakini wadada pia wanahitaji kuolewa ila hawawezi kusema. Nabii hauwawi, ujembe umefika
 
Za asubuhi, Hivi akina dada/wamama waliomo humu jamvini mna matatizo gani? Naombeni niwaulize hilo kwanza then nitaendelea kufafanua kwanini nimeuliza swali hilo, Hivi kama mtu ana jambo la msingi linalomsumbua moyo wake na amefunguka hapa jf akitegemea majibu mazuri na mafanikio makubwa kwa mada aliyoileta lakini mwisho wasiku anaambulia luga chafu, maneno ya kejeli na sifa za kijinga.KWA MFANO JAMAA ANATAFUTA MCHUMBA ILI AMUOWE. Mwisho wa siku majibu yanaishia kwa kuhoji harakaharaka una sura nzuri, salary slip yako inasomaje, weka picha, una nyumba,gari oh mara ana sura mbaya... oh mara mzee sana, huko mtaani hujawaona nk, Kwani huwa ni lazima upate mke kutoka mtaani kwako? je ni wangapi leo hii waliokutana sehemu mbalimbali kama vile kwenye baa, kwenye basi/daladala, mashuleni, kwenye mitandao nk na sasa ni mume na mke? je kweli kwamba wadada waliomo humu jf hamuhitaji kuolewa? na je mnaouliza sura nzuri zakwenu zikoje? Na mnaouliza cash kwani mwanaume ndiyo atm yako? Kwani uzuri wako unasaidia nini kwenye maisha na maendeleo ya familia yenu? NI VEMA KAMA WEWE HUNA HITAJI HILO AU TAYARI UNAYE WA KWAKO UKATULIA NA WALE WENYE HITAJI WATAJITOKEZA KWA MAANA HII KAZI NGUMU YA KUTAFUTA MKE WAMEPEWA WANAUME LAKINI WADADA PIA WANAHITAJI KUOLEWA ILA HAWAWEZI KUSEMA. Nabii hauwawi, ujembe umefika
Mhhhhhhhhh! Mm kwanza mgeni! Lkn kweli! No reseach no right to to speak.
 
Back
Top Bottom