Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,813
- 4,796
Habari zenu wakuu
Leo nimeona niwaletee Uzi huu kwa vijana wanaotaka kwenda kufanya kazi ulaya na kuishi huko has a nchi za EU,Norway,swirzland nk
Njia rahisi na nyepesi ya kwenda ulaya ni hii.
Uwe na rafiki au mpenzi ambaye ni RAIA wa huko au jamaa zako mnaofahamiana ambao wanaishi huko hapo safi
Ila kwa kuzamia ww mwenywe hapo andika maaumivu tu utaomba visa mpaka uchoko sababu nyingi ni kukosa financial support ya ww kwenda huko
Mahitaji ni haya hapo passport unayo lakini
Visa 60-130€ kwa miezi 3
Pipa go and return 1400$
Healthcare 30000€=7600000tsh
Bank statement ya 6 months
Uhakika wa kupata kazi upo mkubwa tu ila kwa nchi kama Ireland Non UE migrants inatakiwa uwe na kazi ya kuanzia Euro 30000-60000 ndio watakupa work and resident permit
Kazi zipo ni maamuzi yako na mtaji wako wa kwenda huko ila ucjaribu kwenda nchi kama Kosovo,Albania,austro hangary nk
UK ni pagumu sana hapaingiliki na maisha ni very tough
Casual jobs kama vibarua,kubeba box,kuhudumia wazee,usafi,security nk ni kwa ajili ya wahindi na wanafunzi wanaosoma huko
Kodi kwa non EU migrants ni 40%
Kwa maelezo zaidi soma hill file hapo chini litakupa mwangaza wa kutosha
View attachment Visit-visa-checklist-Jan-2018.pdf
Sent using Jamii Forums mobile app