Kwenda technical college like DIT na A-Level wapi ni bora zaidi?

ndugu zangu naombeni ushauri mm nimemaliza form four mwaka jana nina division 2 ya point 18 nimesoma science na nimefauru je naweza kujiunga na mambi ya electrical engineering
 
Embu andika mchanganuo wa somo moja moja
Then next time jifunze kuandika vizur
 
Back
Top Bottom