Pdraze
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 615
- 324
senetor,
bila shaka unasoma udsm,wewe ni limbukeni sana(sina nia ya kukukwaza/kukukera bt im tellin u da truth),acha dharau kaka,hata udom ni chuo(sihusiani na udom kwa namna yeyote ile),nimefuatilia post zako nyingi,unaonekana mtu wa kupenda kujisifu/kusifiwa hasa kwa chuo unachosomea,udsm!
Badilika ndugu,maisha yana vipengele vingi sana!
Samahani kama umekereka mkuu!
nashukuru kaka mana huyu mshkaji kuwa udsm anaona he is the best sasa kama toka kianze wangekuwa wanajisifia ingekuwa vp mi namuona anajidhalilisha..thanx mkuu