lukas charles
Member
- Jan 5, 2017
- 82
- 47
- Thread starter
- #21
Tunauliza kitu kilichoshindikana nakama kitu unakiweza huweziuliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunauliza kitu kilichoshindikana nakama kitu unakiweza huweziuliza
Sikupanga kuzaa ila ilitokea2Kwaio harakati za ujana ni kuzaa watoto bila mpango ilihali unajua kabisa bado huwezi kujitegemea kweli badala ya kupambana kutafuta maisha ili uweze kujitegemea na kusaidia wazazi ??
Yani baadhi ya watu sijui maisha mnayachukuliaje.
Siamini jamii yetu hapa ilipofikia lakini pia naogopa inapoelekea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hekima zenu zinajitajika kuwaokoa wadogo zenuMmh ndivyo alivyokwambia kwani
Jr[emoji769]
Hawamu ya 5 na wasukuma!
Young kilimanjaro
Kwa nini upoteze ela kwenda gest? Nyumbani kwa Wazazi si una chumba? Hata kama kwenye chumba mnaishi na mdogo wako, vizia siku Wazazi wameenda kwenye sherehe na mdogo wako umeenda kwenye ndondo cup umlete home faster! Hakikisha majirani hawakuoni isije ikalikiMimi nibkijana naishi nyumbani kwa wazazi ila katika harakati za ujana nilijikuta nazaa na mdada mtaa jirani. Sasa yapita miezi 3 tangia ajifungue ameshaanza usumbufu eti nikamzibue mtoto masikio
Sasa najiuliza niende na mwanangu guest moyo unapata hofu watu watatushangaa ndio maana nikaamua kuwauliza ni halali nifanye hivyo.
Kama unamsingizia "ameshaanza usumbufu eti nikazibue mtoto maskio" kwanini na wewe unaleta usumbufu wa kitoto huku jf?Mimi nibkijana naishi nyumbani kwa wazazi ila katika harakati za ujana nilijikuta nazaa na mdada mtaa jirani. Sasa yapita miezi 3 tangia ajifungue ameshaanza usumbufu eti nikamzibue mtoto masikio
Sasa najiuliza niende na mwanangu guest moyo unapata hofu watu watatushangaa ndio maana nikaamua kuwauliza ni halali nifanye hivyo.
Wanyiramba mna tabu sanaMimi nibkijana naishi nyumbani kwa wazazi ila katika harakati za ujana nilijikuta nazaa na mdada mtaa jirani. Sasa yapita miezi 3 tangia ajifungue ameshaanza usumbufu eti nikamzibue mtoto masikio
Sasa najiuliza niende na mwanangu guest moyo unapata hofu watu watatushangaa ndio maana nikaamua kuwauliza ni halali nifanye hivyo.