C CHOKAMBOVU JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 856 Reaction score 584 Aug 29, 2019 #61 kukumega said: Mbona kwenye hoja yake hajatoa matusi wewe kama unajua kuliko yeye kwanini usitoe hoja ya kufafanua ukweli badala ya kutukana? Click to expand... Nimerudia kusoma comment ya huyo jamaa nikaona nikae kimya naona umeamua kumuongelesha
kukumega said: Mbona kwenye hoja yake hajatoa matusi wewe kama unajua kuliko yeye kwanini usitoe hoja ya kufafanua ukweli badala ya kutukana? Click to expand... Nimerudia kusoma comment ya huyo jamaa nikaona nikae kimya naona umeamua kumuongelesha
Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 15,096 Reaction score 8,913 Aug 29, 2019 #62 andreakalima said: Afrika watu wa ajabu mno tumedanganywa kupitia mafundisho ya dini umeoa wake wanne, watoto kibao (ambao huna uwezo wa kuwapeleka shule nzuri) bado unaambiwa beba mawe njoo huku kuna shetwani. Hatari sana. Click to expand... Kumbe huko wanaendaga waafrika tu?
andreakalima said: Afrika watu wa ajabu mno tumedanganywa kupitia mafundisho ya dini umeoa wake wanne, watoto kibao (ambao huna uwezo wa kuwapeleka shule nzuri) bado unaambiwa beba mawe njoo huku kuna shetwani. Hatari sana. Click to expand... Kumbe huko wanaendaga waafrika tu?
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,681 Reaction score 9,575 Aug 29, 2019 #63 mjingamimi said: Je angesema anaenda Jerusalem?ingekuwa poa.acha udini Click to expand... Mmh