Kwenda kwa mama yangu mpenzi.......

Kwenda kwa mama yangu mpenzi.......

Pole sana mkuu, nimesikitika sana, tuendelee kumuombea Mama na pia kuwashukuru hao wasamaria. Hata leo wapo wanawake ambao wako tayari wenzao wafukuzwe katika ndoa ili waolewe wao
 
Pole sana inshallah mwenyezi mungu akupe maisha marefu elee wanao kwa mapenzi na Imani, jee mzee wako unamjua au mnawasiliana?
 
umekwenda wapi ujibu ili tuelewe zaidi,
kuna wakati ulisema unampenda sana mama yako je ni huyu mama mlezi?
na baada ya hapo dingi wako alikufuatilia au ndo uliendelea kulelewa na walezi?

Pole sana naona hata tumbo la uzazi linanicheza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom