Ni jkt mkuuKwanza swala la kwenda jwtz halijawahi kuwapo since then.
Huwa wanaenda jkt sio jwtz.
Kwa division three kupokelewa vyuo vikuu naona kama yaweza kuwa na kaukweli (japo inahitaji muda kuthibitisha hasa TCU).
Jamani huko vyuoni sasa hivi kuna wanafunzi wa ajabu sana sana. Hawajui hata kutunga sentensi ya kiingereza iliyokamilika!!!
Nadhani sasa ifike wakati TCU waanzishe Marticulation exams na wale watakaofaulu marticulation ndio wawekwe kwenye selection ya TCU.
Ni aibu aibu aibu. Hizo division three ndo zimejaa vyuoni na kupelekea hali hii.
Kwenda JKT yapaswa kuwa hivyo kwa kuwa inawajenga kiafya na kuwajengea utaifa.
Asante mkuu kwa ushauri na koment nzuriKwa division three kupokelewa vyuo vikuu naona kama yaweza kuwa na kaukweli (japo inahitaji muda kuthibitisha hasa TCU).
Jamani huko vyuoni sasa hivi kuna wanafunzi wa ajabu sana sana. Hawajui hata kutunga sentensi ya kiingereza iliyokamilika!!!
Nadhani sasa ifike wakati TCU waanzishe Marticulation exams na wale watakaofaulu marticulation ndio wawekwe kwenye selection ya TCU.
Ni aibu aibu aibu. Hizo division three ndo zimejaa vyuoni na kupelekea hali hii.
Kwenda JKT yapaswa kuwa hivyo kwa kuwa inawajenga kiafya na kuwajengea utaifa.
Degree inachukuliwa kumbe..!!!!!!!!! Halafu mtu unawaza kupata division. ThreeWakuu humu ndani naimani kuna watu madhubuti wa kujibu hili suala la kwenda jwtz kwa form 6 lipo au halipo?na je vip kuhusu ukipata three huendi kuchukua degree chuo kikuu.naomba kuwasilisha
Wakuu humu ndani naimani kuna watu madhubuti wa kujibu hili suala la kwenda jwtz kwa form 6 lipo au halipo?na je vip kuhusu ukipata three huendi kuchukua degree chuo kikuu.naomba kuwasilisha
like siyo chakula mkuupamoja sana mkuu.. gonga like apo twende sawa..
View attachment 329967
Nenda kasote kwanza JKT ndio ajira za JW zinakotokea, usitegemee form 6 yako kutakuwa na njia ya mkato.Wakuu humu ndani naimani kuna watu madhubuti wa kujibu hili suala la kwenda jwtz kwa form 6 lipo au halipo?na je vip kuhusu ukipata three huendi kuchukua degree chuo kikuu.naomba kuwasilisha