Kwenda jeshi kwa form 6 mwaka huu

Kwenda jeshi kwa form 6 mwaka huu

Mtakwenda, muda wa kuripoti makambini mlikopangiwa ni Kati ya tarehe 1 na 6 mwezi wa sita. ITV wametangaza kwenye habari za SAA mchana huu. Kila la heri.
Sawa mkuu..lakini me sioni umuhimu wa kwenda huko zaidi ya kuteseka
 
Kumbe ni habari za kizushi??
 
Sawa mkuu..lakini me sioni umuhimu wa kwenda huko zaidi ya kuteseka
Hauendi kuteseka kijana unaenda kupewa mafunzo ya kujeshi na kimaisha kwa ujumla...wiki sita za mwanzo ndo mambo yanakuaga magumu sana baada ya hapo kawaida sana.
 
Lakini haijatangazwa kwenye habari kwa hyo sidhani kama tutaenda
 
Nadhani hiki ndo kipindi chake so sahivi uwe unatembelea website yao mara kwa mara lazima watatoa taarifa km mnaenda au la....hawawezi kukaa kimya tu km mafunzo yamesitishwa watatoa taarifa so we jiandae tu kwa lolote.
 
Okay sawa mkuu
 
Sasa mkuu wale ambao hawajachaguliwa wanafanyaje na wao ni kina nani? Na itakuaje? Kwa nini?
Kama hujachaguliwa sio tatzo lako ni kwao na kumbukumbu zipo zinaonesha kuwa ulichaguliwa au hukuchaguliwa mwaka jana walichaguliwa awamu 2 ya kwanza,baada ya mda wakaongezwa wengine wewe mujibu usiogope hata kama hukuchaguliwa waweza kwenda kuripoti kikosini hii nilimpeleka mdogo wangu mwaka juzi pale mafinga
 
Sasa mkuu kwa PRIVATE CANDIDATES si wanaweza ku apply moja kwa moja pale makao makuu ya o JKT? maana mwaka jana pale school kwang kuna wana walikua wanapiga kama Pc majina yalipotoka waka apply wakapangiwa kambi.
 
Hilo sijajua cha muhimu fuatlia jns hao wadau walivyofanya mwaka jana
 
Nachozungumzia mim ni kwamba hao si watakua wamepata favour au?
 
Yec..kwasababu mda ambao wao hawataenda jkt watafanya biashara zao za kuwaingizia kipato ili chuo wasitegemee boom peke ake
Mkuu ukichaguliwa sio lazima uende but cjui mbele kitatokea nn ila mifano ya watu wasioenda ipo mingi tu na hakuna kilichowapata labda,hapo baadae ila nakushaur uende
 
Mim ndo nafatilia kama nimechaguliwa au vip..ila mtu asipochaguliw akikaa mtaani atakuwa amejijenga vizuri kiuchumi kwa kweli kama anajitambua
 
Back
Top Bottom