Kwenda jeshi kwa form 6 mwaka huu

Kwenda jeshi kwa form 6 mwaka huu

Nazungumzia jkt sio jwtz ajira..
 
Naombeni mnipe uhakika Wakuu
 
Kwa sisi wanafunzi wa form 6 mkuu
 
Cio ajira ni kwa mujibu wa sheria
 
Mbona kimya hadI leo tr. 19 kulikoni!
 
Nazungumzia jkt sio jwtz ajira..
jiandae tu mkuu mwaka jana ilikua hv hv watu walijua hawataenda mwisho wa siku majina yakatoka. Hakuna kubana matumizi kwenye kukomazana na ukiangalia JPM anataka vjana wakomae ktk kazi. So get ready, me mwenyewe ni mmoja wao
 
wajiandae kula madoso maana hamna namna..!
 
jiandae tu mkuu mwaka jana ilikua hv hv watu walijua hawataenda mwisho wa siku majina yakatoka. Hakuna kubana matumizi kwenye kukomazana na ukiangalia JPM anataka vjana wakomae ktk kazi. So get ready, me mwenyewe ni mmoja wao
Aaah..mkuu mimi sipendi kwenda kwa kweli
 
Mtakwenda, muda wa kuripoti makambini mlikopangiwa ni Kati ya tarehe 1 na 6 mwezi wa sita. ITV wametangaza kwenye habari za SAA mchana huu. Kila la heri.
 
Back
Top Bottom