Rama mandara Tz
Member
- Mar 1, 2017
- 43
- 21
wamehamia kwenye ugoro.Mlikuwa mnavisingizia viroba...!
ww ndo una maana yako tofauti maana hakuna kusudio loloteHata ikitafsiriwa hupati maana uliyoikusudia
Ili maana aliyokusudia mtoa mada basi ilijuwa aondoe neno "with"ww ndo una maana yako tofauti maana hakuna kusudio lolote
viroba siku hamna mkuuSio bure kuna kiroba umetupia
Afadhali na wewe umeona, hivi ile with inafanya nini pale?
Kiingereza hakitafsiriwi neno kwa neno, lakini unapoongeza mbwembwe kinakuwa mbwambwaMbwembwe tu...!!
Ametumia tauriaInabidi uingie kwenye mawazo yake ndio utamwelewa anamaaanisha nini lakini kwanini asitumie lugha yake tu akaeleweka?
hahhhhawamehamia kwenye ugoro.
Mlikuwa mnavisingizia viroba...!