Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,303 Apr 16, 2012 #1 Jamaa pamoja na kuzibiti usalama wa Baiskeli yake lakini wezi wameondoka na Bike wakaacha matairi!
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 54,104 Reaction score 43,188 Apr 16, 2012 #2 Duu! Hii kali.
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,134 Apr 16, 2012 #3 Huu ni uwongo
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Apr 16, 2012 #4 huwezi zuia fundi kufanya kazi aliyoisomea.
ALLEX JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 2,006 Reaction score 346 Apr 16, 2012 #5 hahahaa hiii kiboko..
GABOO Senior Member Joined Apr 11, 2011 Posts 118 Reaction score 12 Apr 16, 2012 #6 Huyo mwenye hiyo baiskeli akirudi atacheka sana.
Baba Sharon JF-Expert Member Joined Oct 22, 2010 Posts 372 Reaction score 257 Apr 16, 2012 #7 Hahah Kama bike ingekuwa yangu ningecheka tu baada ya tukio maana huu wizi ni wa kikomedy zaid
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,187 Apr 16, 2012 #8 Baba Sharon said: Hahah Kama bike ingekuwa yangu ningecheka tu baada ya tukio maana huu wizi ni wa kikomedy zaid Click to expand... Kweli kabisa... hawa wezi wameonyesha pia ubunifu
Baba Sharon said: Hahah Kama bike ingekuwa yangu ningecheka tu baada ya tukio maana huu wizi ni wa kikomedy zaid Click to expand... Kweli kabisa... hawa wezi wameonyesha pia ubunifu
KeiEd Senior Member Joined Feb 7, 2012 Posts 138 Reaction score 38 Apr 16, 2012 #9 dah mbavu zangu jamani
kaburunye JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 672 Reaction score 79 Apr 16, 2012 #10 ahahahahahahaa.....hawa wezi watakuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maana haya mapinduzi si ya kawaida
ahahahahahahaa.....hawa wezi watakuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maana haya mapinduzi si ya kawaida
MIUNDOMBINU JF-Expert Member Joined Apr 14, 2010 Posts 466 Reaction score 101 Apr 16, 2012 #11 kaburunye said: ahahahahahahaa.....hawa wezi watakuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maana haya mapinduzi si ya kawaida Click to expand... ccm oyeeeeeeeeeeeee uchakachuaji oyeeeeeeeeeeeee zidumu fikira.
kaburunye said: ahahahahahahaa.....hawa wezi watakuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maana haya mapinduzi si ya kawaida Click to expand... ccm oyeeeeeeeeeeeee uchakachuaji oyeeeeeeeeeeeee zidumu fikira.
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,817 Apr 16, 2012 #12 Ukisikia wizi uliokwenda shule ndio huu!! Jamaa anaikuta minyororo yake kama alivyoiacha lakin kaibiwa.
Ukisikia wizi uliokwenda shule ndio huu!! Jamaa anaikuta minyororo yake kama alivyoiacha lakin kaibiwa.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Apr 16, 2012 #13 hapo sio wanauza matairi ya baiskeli..
K King Gmt Member Joined Mar 31, 2012 Posts 21 Reaction score 1 Apr 17, 2012 #14 Hawa majamaa ndo wanastahili kusomea enginering kwani sayansi na technologia yao inazidi hata ile ya Mchina
Hawa majamaa ndo wanastahili kusomea enginering kwani sayansi na technologia yao inazidi hata ile ya Mchina
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,209 Apr 17, 2012 #15 Itakuwa Uholanzi hiyo. Maana huko unapopaki baiskeli na kugeuza mgongo tu, wenzako wanakata kufuli na kuondoka nayo. Usiombe uwe na baiskeli ya kisasa.
Itakuwa Uholanzi hiyo. Maana huko unapopaki baiskeli na kugeuza mgongo tu, wenzako wanakata kufuli na kuondoka nayo. Usiombe uwe na baiskeli ya kisasa.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,185 Reaction score 18,201 Apr 17, 2012 #16 Ndallo said: Jamaa pamoja na kuzibiti usalama wa Baiskeli yake lakini wezi wameondoka na Bike wakaacha matairi! View attachment 51838 Click to expand... Hii funga mwaka.........
Ndallo said: Jamaa pamoja na kuzibiti usalama wa Baiskeli yake lakini wezi wameondoka na Bike wakaacha matairi! View attachment 51838 Click to expand... Hii funga mwaka.........
M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,418 Apr 17, 2012 #17 Ndallo said: Jamaa pamoja na kuzibiti usalama wa Baiskeli yake lakini wezi wameondoka na Bike wakaacha matairi! View attachment 51838 Click to expand... Mkuu kwa photo shop tu..., nakuaminia!
Ndallo said: Jamaa pamoja na kuzibiti usalama wa Baiskeli yake lakini wezi wameondoka na Bike wakaacha matairi! View attachment 51838 Click to expand... Mkuu kwa photo shop tu..., nakuaminia!
mopaozi JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,300 Reaction score 523 Apr 17, 2012 #18 kaburunye said: ahahahahahahaa.....hawa wezi watakuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maana haya mapinduzi si ya kawaida Click to expand... Kwanini wasiwe chadema wavaa kombati kama wamepuuu!
kaburunye said: ahahahahahahaa.....hawa wezi watakuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maana haya mapinduzi si ya kawaida Click to expand... Kwanini wasiwe chadema wavaa kombati kama wamepuuu!
J jmnamba Senior Member Joined Mar 31, 2012 Posts 156 Reaction score 28 Apr 17, 2012 #19 Hata kama ingekua mimi nimeibiwa ivyo ningecheka mpk nikae chini.
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Apr 17, 2012 #20 duh kweli hawa jamaa ni baraaaaa