kili255
Senior Member
- Apr 12, 2018
- 101
- 185
Mkuu Elimu tulio nayo inachangia kupoteza ubunifuUko sahihi mkuu. Ila wakienda shule tu, hapo ndipo wanaharibikiwa. Shule tunawafundisha nini cha kufikiria. Badala ya kuendelea kuwafundisha jinsi ya kufikiria.