Daaah hahaaha kuna wanaume wehu haijapata tokea,.
We dada si umesema unatafuta mume, mara hii umeanza kulalamika, pole sanaWapo wengi sana yani hawana tofauti na changudoa
Wanawake mna vituko sana, cha ajabu hapa akimgonga besti yao au kianzisha mahisiano ma besti yako utaanza kuwamaindi kwa wivu!Kuna mkaka mmoja mtaani kwetu alitokea sana kunizoea tukawa mabest wakubwa na mshauri ananishauri. Mimi nina mahusiano yangu na yy pia ana mke wake na pia sasa katika kuchat chat mara akaanza kunitongoza tena kwa speed ya 4g mm kwa vile najielewa na kujitambua nikamkatalia kata kata cuz cwez kutoka na mme wa mtu pia mm cwez isaliti familia yangu kwa ajili ya mtu ambae kwangu namchukulia kama kaka yangu wakuzaliwa.
Sasa baada mm kuonyesha msimamo wangu juzi kanipigia cm anaomba nimpe hela ana shida mm nikamwambia kiukwel kwa sasa mm sina ningekua nayo ningekupa .
sasa kuna siku nilisema ebu nimjulie best yangu hali cuz atujawasiliana mda mrefu daah hakupokea cm yangu ila alinitumia msg yakunitukana ananiambia ctk unizoee kwanza umenikataa pili nimekuomba hela umeninyima fata mambo yako achana na mm kwanza una bahati ulivyonikataa cjawai kukupenda kama nilivyokuambia ila nilitaka unikubalie niwe nakupiga vizinga vya hela tu
kiukweli ile msg ilinipa wakati mgumu sana wakuitafsiri nakuwaza kumbe baadhi ya wanaume cyo watu wazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukitafuta mume mengine yote usiongee? Ndio uwezo wako wa kufikiria ulipoishia?We dada si umesema unatafuta mume, mara hii umeanza kulalamika, pole sana
Asante mama, sikuwa na nia mbaya nawe, kila la heriKwan
Kwani ukitafuta mume mengine yote usiongee? Ndio uwezo wako wa kufikiria ulipoishia?
daaa pole sana, i wsh i wll have msichana anayejitambua kama ww one dayKuna mkaka mmoja mtaani kwetu alitokea sana kunizoea tukawa mabest wakubwa na mshauri ananishauri. Mimi nina mahusiano yangu na yy pia ana mke wake na pia sasa katika kuchat chat mara akaanza kunitongoza tena kwa speed ya 4g mm kwa vile najielewa na kujitambua nikamkatalia kata kata cuz cwez kutoka na mme wa mtu pia mm cwez isaliti familia yangu kwa ajili ya mtu ambae kwangu namchukulia kama kaka yangu wakuzaliwa.
Sasa baada mm kuonyesha msimamo wangu juzi kanipigia cm anaomba nimpe hela ana shida mm nikamwambia kiukwel kwa sasa mm sina ningekua nayo ningekupa .
sasa kuna siku nilisema ebu nimjulie best yangu hali cuz atujawasiliana mda mrefu daah hakupokea cm yangu ila alinitumia msg yakunitukana ananiambia ctk unizoee kwanza umenikataa pili nimekuomba hela umeninyima fata mambo yako achana na mm kwanza una bahati ulivyonikataa cjawai kukupenda kama nilivyokuambia ila nilitaka unikubalie niwe nakupiga vizinga vya hela tu
kiukweli ile msg ilinipa wakati mgumu sana wakuitafsiri nakuwaza kumbe baadhi ya wanaume cyo watu wazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana we hutoi assist etAlitaka akugeuze ATM. Lol.
Hivyo ungempa ingekula kwako. Achana naye mwaya mana urafiki sijui uchepukaji wa kufilisiana wa kazi gani bora kajiumbua mwenyewe.
Sitoi bana best. Au we ndio zako nini? [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ina maana we hutoi assist et
Nilikua nataka uniasist hapaSitoi bana best. Au we ndio zako nini? [emoji125] [emoji125] [emoji125]