Kweli wanaume siyo watu wa mchezo mchezo

Kweli wanaume siyo watu wa mchezo mchezo

usipojipanga watakupanga....

ila sio shida maana tumeumbwa tusaidiane

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Alitaka akugeuze ATM. Lol.

Hivyo ungempa ingekula kwako. Achana naye mwaya mana urafiki sijui uchepukaji wa kufilisiana wa kazi gani bora kajiumbua mwenyewe.
Watu wengine sijui ni vichwa ngumu kama jiwe. Kila siku tunaonya hapa JF kuwa hakuna urafiki kati ya Me na Ke bila kuhusisha kuombana K. Lakini akina super model wanaona sie ni vidampa na vilaza. Sasa umejionea mwenyewe. Uliza Miss Natafuta atakusaidia katika hili
 
Kuna mkaka mmoja mtaani kwetu alitokea sana kunizoea tukawa mabest wakubwa na mshauri ananishauri. Mimi nina mahusiano yangu na yy pia ana mke wake na pia sasa katika kuchat chat mara akaanza kunitongoza tena kwa speed ya 4g mm kwa vile najielewa na kujitambua nikamkatalia kata kata cuz cwez kutoka na mme wa mtu pia mm cwez isaliti familia yangu kwa ajili ya mtu ambae kwangu namchukulia kama kaka yangu wakuzaliwa.

Sasa baada mm kuonyesha msimamo wangu juzi kanipigia cm anaomba nimpe hela ana shida mm nikamwambia kiukwel kwa sasa mm sina ningekua nayo ningekupa .

sasa kuna siku nilisema ebu nimjulie best yangu hali cuz atujawasiliana mda mrefu daah hakupokea cm yangu ila alinitumia msg yakunitukana ananiambia ctk unizoee kwanza umenikataa pili nimekuomba hela umeninyima fata mambo yako achana na mm kwanza una bahati ulivyonikataa cjawai kukupenda kama nilivyokuambia ila nilitaka unikubalie niwe nakupiga vizinga vya hela tu

kiukweli ile msg ilinipa wakati mgumu sana wakuitafsiri nakuwaza kumbe baadhi ya wanaume cyo watu wazuri

Sent using Jamii Forums mobile app

binadamu ukimtafsiri kama alivyo yani kimuonekano na jinsi anavyoongea hakika itakugharimu sana katika maisha yako na kila mtu utamuona adui kwako!

siyo kila mtu yupo kama vile unavyomuona kimuonekano anavyo vaa (smart) wala kuwa na kauli nzuri. ispokuwa kila mtu yuko na Tabia zake (CHAFU) nje ya muonekano wake mzuri (smart) nje ya kauli zake nzuri na ucheshi.

TABIA ZENYEWE KAMA VILE
=======================
(1)ulevi
(2)uvutaji bangi
(3)ukorofi
(4)uzinzi
(5)uongo
(6)uwizi
(7)ubinafsi
(8)umbea na kadhalika

tabia hizo kila mtu anazo uwe mrefu,mfupi,mnene,mwembamba,mweupe au mweusi lakini unazo hizo tabia ndani yako! ila cyo kila mtu anazifanya hzo tabia ispokuwa kuna baadhi ya changamoto za kimaisha zinakulazimisha kuzifanya hivyo.

CHANGAMOTO ZENYEWE NIKAMA VILE
=================================
(1)kukosa kile unachokihitaji kwenye maisha
(2)kutafakari bila ufumbuzi

kwaiyo ni vizuri ukajua chanzo cha tatizo lake kabla hujamchukia. kwa sababu kilakitu kinatokea kwa sababu fulani.. hivyo basi huwezi jua alikujibu vile kwa sababu gani; either, alikuwa ametumia vilevi au alikuwa ameshavurugwa na mambo yake baada ya kuyatafakari bila ufumbuzi hadi kumpelekea kuwa na hasira na kukujibu vile.

Msamehe tu bure! maana siyo makosa yake isipokuwa shida zake ndio chanzo cha hizo kauli chafu. "KUNJA SURA KUNJUA ROHO" na maisha yaendelee wala usimchukie. kwani naimani ipo siku atalitambua kosa lake baada ya kutatua shida zake.
 
Pole sana...

Wapo wanaume wanaofuata mali kwa mwanamke kama ilivyo kwa wanawake...

Ila huyo ni hasira za kumkataa tu, but inaweza isiwe kweli... Kaongea hayo kukufanya ujisikie he wanted to use you... Au tunasema revenge...

Cc: mahondaw
 
Kuna mkaka mmoja mtaani kwetu alitokea sana kunizoea tukawa mabest wakubwa na mshauri ananishauri. Mimi nina mahusiano yangu na yy pia ana mke wake na pia sasa katika kuchat chat mara akaanza kunitongoza tena kwa speed ya 4g mm kwa vile najielewa na kujitambua nikamkatalia kata kata cuz cwez kutoka na mme wa mtu pia mm cwez isaliti familia yangu kwa ajili ya mtu ambae kwangu namchukulia kama kaka yangu wakuzaliwa.

Sasa baada mm kuonyesha msimamo wangu juzi kanipigia cm anaomba nimpe hela ana shida mm nikamwambia kiukwel kwa sasa mm sina ningekua nayo ningekupa .

sasa kuna siku nilisema ebu nimjulie best yangu hali cuz atujawasiliana mda mrefu daah hakupokea cm yangu ila alinitumia msg yakunitukana ananiambia ctk unizoee kwanza umenikataa pili nimekuomba hela umeninyima fata mambo yako achana na mm kwanza una bahati ulivyonikataa cjawai kukupenda kama nilivyokuambia ila nilitaka unikubalie niwe nakupiga vizinga vya hela tu

kiukweli ile msg ilinipa wakati mgumu sana wakuitafsiri nakuwaza kumbe baadhi ya wanaume cyo watu wazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha majungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom