hawa viumbe cyo watu wazuri walaa mpk sasa cjampatia jibuAlitaka akugeuze ATM. Lol.
Hivyo ungempa ingekula kwako. Achana naye mwaya mana urafiki sijui uchepukaji wa kufilisiana wa kazi gani bora kajiumbua mwenyewe.
Inatakiwa kutumia akili tu kwa kwakweli.
Kumbe kufilisiana huwa mnajua kunaudhi eh?Alitaka akugeuze ATM. Lol.
Hivyo ungempa ingekula kwako. Achana naye mwaya mana urafiki sijui uchepukaji wa kufilisiana wa kazi gani bora kajiumbua mwenyewe.
Hahahaaaa. Kunaudhi ndio mkuu.Kumbe kufilisiana huwa mnajua kunaudhi eh?
Machangudoa wakiume wapo kibaoWapo wengi sana yani hawana tofauti na changudoa
Bora kasema ukweli! Wanaume wakweli ni wachache sana Duniani,naamini sasa hapo umeshapata funzo kaka ni yule uliyezaliwa nae hao wengine ni wababaishaji na wapiga vizinga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani dear. Sio kila anae kutongoza anakuhitaji %100 .wengi ni wanafiki
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani nimemvutia picha cjui hata anafananaje[emoji13] [emoji13]Hahahaa inaonekana huyo mwanaume alishayachoka mapenzi tokea zamani mumu
Vipi sasa mimi si kaka yako eti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani nimemvutia picha cjui hata anafananaje[emoji13] [emoji13]