Sharif
JF-Expert Member
- Mar 13, 2011
- 2,450
- 1,777
Hutokea wakati ukweli ukawa hauna nafasi katika mawazo ya walimwengu.
Gazeti la MAWIO lilifungiwa kutokana na kueleza kile ilichosemekana ni uchochezi ingawa haihitaji kua na degree kuelewa hatima ya mtu anaemshika mkia mbwa mwenye kichaa.
Haya yanayotendwa Zanzibar na askari ambao wengi wao wamepelekwa huko hivi karibuni kutoka Bara,huenda ndicho kilichomaanishwa na Gazeti la Mawio.