Kweli walevi wana akili,nimekubali.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
MLEVI:Oyaa mhudumu,nipe bia ya kwanza kabla vita haijaanza[mhudumu akampa bia ya kwanza].MLEVI:Oyaa mhudumu nipe bia ya pili kabla vita haijaanza[mhudumu akampa bia ya pili]. MLEVI:Changamka bwana,nipe bia ya tatu kabla vita haijaanza. MHUDUMU:Kwani vita gani unayoiongelea?. MLEVI:Ni ile vita itakayolipuka kati yangu mimi na wewe pale utakapogundua sina hata sh.10 mfukoni ya kulipia hizi bia ninazokunywa.
 
mi nadhani mhudumu alishatishika tangu mwanzo ndo maana akawa anatoa bia,hivo jamaa ataendelea tu kunywa
 
Back
Top Bottom