Kweli Wachagga Hawapendi Pesa

Mkaa Mweupe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
654
183
Mzee mmoja wa Kichaga ambaye alikuwa mkali
sana kwa binti yake anaamka asubuhi na kutaarifiwa
kwamba binti yake ana mimba!

Mzee wa Kichaga:
"Aisee we Manka,
nakwenda kazini,
nikirudi leo ni lazima uniambie ni nani
kafanya uchafu huu"
Anafoka na kuondoka kuelekea ofisini.

Mchana anapigiwa simu na Mama Manka na
kuambiwa kwamba yule jamaa aliyempa mimba bintiye yupo
nyumbani anamsubiri kwa mazungumzo!
Mzee anachukua panga lake na kulinoa
kabisaaa kwa ajili ya kwenda kumteketeza mwanaharamu huyo.

Kufika nyumbani mambo yanakuwa hivi:

Kijana aliyempa mimba binti:
Mmmh!!
Mzee ni kweli mi ndiye nimempa mimba binti yako, na kusema
kweli sina mpango wa kumuoa.
Lakini akizaa mtoto wa kiume nitakupa US$ 1 million na
ghorofa
Kariakoo
kisha nachukua mtoto.
Akizaa mtoto wa kike nakupa US$ 1million na duka Sinza!
Lakini je mzee, ikitokea bahati mbaya mimba hii ikaharibika

itakuwaje?

Mzee wa Kichaga:
Aisee babaangu itabidi tu
umpe mimba nyingine,
hakuna jinsi!
 
Ha ha ha ha ha! Hapo kuna kazi
 
mna utani na sie eehhhh kila mtu anapenda hela.yap ikiharibika aweke ingine fasta hadi apate hayo madola alahhhhhhh hii safi
 
Back
Top Bottom