kweli usingizi hauna adabu!

moblaze

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
231
27
[h=1]SLEEP STRATEGISTS; Top Ministers Sleep @ M7 Address![/h]
1-(L-R)Eriya Kategaya, First deputy Prime Minister and minister for East Africa Affairs, Henry Muganwa Kajura, 2nd Deputy Premier and minister for public service and Moses Ali, 3rd Premier and deputy leader of government business in parliament took some time off to dose off during President Yoweri Museveni's State of The Nation Adress at Serena Hotel on Tuesday
2- (L-R) Vice President Edward Kiwanuka Ssekandi, Premier Amama Mbabazi and Eriya Kategaya were in slumberland during President Yoweri Museveni's State of The Nation Adress at Serena Hotel on Tuesday
Saida Bbumba, minister of gender, labour and social affairs (L) and Daudi Migereko, minister of lands and urban development (R) were not spared by the sleeping bug during President Yoweri Museveni's State of The Nation Adress at Serena Hotel on Tuesday
Princess Kabakumba Masiiko, minister for the presidency's mind was far from Serena Hotel during President Yoweri Museveni's State of The Nation Adress on Tuesday
Adolf Mwesige, minister of local government was also a victim of the sleeping bug during President Yoweri Museveni's State of The Nation Adress at Serena Hotel on Tuesday
 
Kuna ma-rais wana hotuba ndefu balaa, tena unakuta haina jipya zaidi ya kurudia aliyosema juzi. This is what u get!
 
Tatizo la maraisi wetu ni kwa wanaowaandalia hizo speech kutokuwa na umakini wa kuhit point ndiyo maana unakuta lispeech lireeeeefu halafu linaboa kwa kujirudia rudia tofauti na za kina baba wa taifa kina mandela na kina kaunda ambazo walikuwa wanazitoa direct bila kusoma popote na zilikuwa haziboi kutokana na mtoa mada anakuwa anawasoma pia wanaomsikiliza na akiona wanaboreka anaweza wachekesha kidogo na kuendelea.sasa hii miviongozi yetu ya sasa na phd zao za kuzawadiwa kama pipi huku kichwani hakuna kitu matokeo yake ndo hayo sasa!!
 
hivi hata kama rais ametoa maagizo muhimu yatakua yamesikika kwa mwendo huu, wakitoka hapo hakuna hata moja litatekelezwa maana hawakuwepo.
 
hivi hata kama rais ametoa maagizo muhimu yatakua yamesikika kwa mwendo huu, wakitoka hapo hakuna hata moja litatekelezwa maana hawakuwepo.

Kwa vile kuna utaratibu wa kugawa vijitabu vya hotuba ndo maana wanalala kwa vile yote yaliyozungumzwa huandikwa humo!
 
Great thinkers, tusiwe biased sana, tutofautishe kufumba macho na kulala. Si kila anaefumba macho amelala. Mimi si mtaalamu lakini sidhani kama mtu anaweza kulala mwili wake ukiwa up right bila kuegemea popote! Kwa mtazamo wangu katika picha hizi ni kweli kuna waliolala na kuna waliofumba macho
 
mi naona wangekuwa wanashauriwa chakula cha kula...sometimes wanajitundika mamisosi noma ndio maana wanasinzia!
 
Great thinkers, tusiwe biased sana, tutofautishe kufumba macho na kulala. Si kila anaefumba macho amelala. Mimi si mtaalamu lakini sidhani kama mtu anaweza kulala mwili wake ukiwa up right bila kuegemea popote! Kwa mtazamo wangu katika picha hizi ni kweli kuna waliolala na kuna waliofumba macho

Bana kubwa

hao wamelala na sio kusinzia, angalia nyuso zao, zinaashiria hilo kabisaaaaaa.
 
Mh! Ni uzembe tu. Hawana wa kuwawajibisha. Rais yupo, mahakama yao, polis inawalinda, jeshi upuuzi mtupu sasa wafanye nini? Mungu ibariki Africa. Yaue hayan majitu tuanze upya jamani. Nakaribia kulia kwa uchungu....
 
walikesha kwenye maraha hawa banaaaa! kwani pale idodomia si wanakeshaga chako ni chako af asubuhi wanalalaaaaaa
loool
 
Pesa wanazolipwa wanapeleka kusiko, wanageuza usiku kuwa mchana na sasa mchana kwao umekuwa usiku. Wamelaaniwa hao.
 
I think repetition and stories is what makes people sleeping in the meeting
 
Kumsikiliza mtu yule yule na maneno yale yale kwa miaka 25 sio kazi ndogo.....lazima uchoke na ulale

kateg.jpg
 
Back
Top Bottom