Kweli ung'eng'e ni janga la kitaifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli ung'eng'e ni janga la kitaifa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Solita, Apr 17, 2012.

 1. Solita

  Solita Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri kila mtu anaangalia kinachoendelea bungeni yaani lugha ni taaaaaaaaaaaabu, kwa nini wasitafute utaratibu wa kutumia lugha adhimu ya kiswahili maana hii ni shida.
   
 2. b

  bebiwilli Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi wananichekesha tu,sijui wataenda ongea nini huko EAP hawa si wanawapeleka watoto wao international kwa nini nao wasiende jamani kukimprove kidogo mana aibu,haswa yule wa nccr katia fola
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  willy@new york big up sana though i dont support ccm lkn i can see potential in you!
   
 4. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wa chadema je nahisi kama kapunguza baadhi ya kg chezea kidhungu
   
 5. k

  kimondo Senior Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio EAP bali EALA (East African Legislative Assembly)
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  kuna mmoja ulimi uliteleza akasema Honorable spear(akimaanisha honorable speaker
   
 7. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kithungu thiyo ncheso wajameno! Wengine tunakong'oli kiswahili tu.
   
 8. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  mm naona hata ukingea broken poa tu ili mradi ueleweke unaongelea nn tu kama vile wachina,ili mradi biashara iende
   
Loading...