Kweli uchungu wa mwana aujuae mzazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli uchungu wa mwana aujuae mzazi

Discussion in 'Celebrities Forum' started by IKISU, Jun 20, 2012.

 1. I

  IKISU Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Mama wema jana kaongea kwa uchungu sana kuusu magazeti yanavyo mwandika mwanae na kupata faida kubwa kupitia mgongo wa wema,uku wakimwashia sifa mbaya sana mwanae, lakini je ni kweli wema nae anaumia kwa kuandikwa au yeye mwenyewe ndie anapenda kuandikwa kila siku?
   
Loading...