Kweli tumeumbwa kuijaza dunia

Kwa nini mweusi na sio mdhungu? think out of the box
 
Kwa nini mweusi na sio mdhungu? think out of the box
Sisi ndo tunaopenda kufuata mambo bila kuuliza maana...
hapo wametii amri bila kuuliza, "Enendeni mkaijaze nchi.." Mwafrika, "Ndiyo BWANA!"..lol (on a light touch.)
 
Sisi ndo tunaopenda kufuata mambo bila kuuliza maana...
hapo wametii amri bila kuuliza, "Enendeni mkaijaze nchi.." Mwafrika, "Ndiyo BWANA!"..lol (on a light touch.)

teh teh kwa hiyo ni kukubali tu teh teh
 
teh....lazima dunia ijae.yaani hawa watakuwa watanzania lazima.

Maana wengi hawaelewi maana ya budget, Mkulo akitoka na begi lake mjengoni watu wanauliza, bia imepanda kiasi gani? Mambo ya vyakula walaaaa!!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…