Nilipenda sana katuni za kuchorwa kwenye magazetiNdiyo walikuwa rafiki zako sio
Kwa hapa umechapia kawadanganye chekecheaIlikuwa ukikuta picha ya 'ronado de Lima' unapewa big G nyingine ya bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Picha ya Ronaldo ilikuwa dili sana ukipata unarudishiwa big g yako nyingine!
Mijitu mingine ubishi bahna utafikiri mlikuwa mnakaa wote.Kwa hapa umechapia kawadanganye chekechea