Kweli tumetoka mbali na hivi vitu

Kweli tumetoka mbali na hivi vitu

KACHINJA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
1,263
Reaction score
871
Kitambo sana nilikuwa nayakusanya nambandika kwenye daftari mpaka ikajaa
IMG-20180708-WA0026.jpg
IMG-20180708-WA0025.jpg
IMG-20180708-WA0024.jpg
IMG-20180708-WA0023.jpg
 
Namuona dover suker aisee kwel kitambo sasa hapo ukimaliza unabandika kwenye kisoda mpira Wa visoda
 
kwel tulipotoka ni mbal [HASHTAG]#upendo[/HASHTAG] utatufikisha tuendako
 
Hahahaaaa!! Wachezaji wa Brazil nilikuwa nawafahamu woote, aisee umenikumbusha mbali kweli.
 
Ilikuwa ukikuta picha ya 'ronado de Lima' unapewa big G nyingine ya bure
 
Back
Top Bottom