Kweli tumetoka mbali na hivi vitu

Kweli tumetoka mbali na hivi vitu

Tulikuwa tunamtafuta ronado wa kwenye majani
 
Dah mkuu umenikumbusha mbali Sana mie nilikua nimechafua kitanda na ukuta
 
Hizo picha kitambo kila ukila bigijii lazima upate unajaza ghetto.
 
Mm nilikuwa sinaga time na wachezaji mm nilikuwa ni katuni yaani nilikuwa na daftari counter book nilichukuwa la sister nikawa kazi nikujaza katuni za akina kingo, baba ubaya, pimbi na akina madenge
 
Nimekumbuka mbali sana,nakumbuka niliweka picha ya davor suker kwenye daftari langu.Na jina langu nilikuwa najiita davor suker!!!
 
Mm nilikuwa sinaga time na wachezaji mm nilikuwa ni katuni yaani nilikuwa na daftari counter book nilichukuwa la sister nikawa kazi nikujaza katuni za akina kingo, baba ubaya, pimbi na akina madenge
Ndiyo walikuwa rafiki zako sio
 
Picha ya Ronaldo ilikuwa dili sana ukipata unarudishiwa big g yako nyingine!
 
Dah
Umenikumbusha Mnyama Davo Succer.

Kweli maisha yanakimbia kwa kasi sana aiseee
 
Back
Top Bottom