PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,135
Unaweza ukaoa akiwa mwembamba, baada ya mwaka mmoko tu dizain kama chura,, ohooo,,Kwa wivu nilionao siwezi kumiliki nyumba yenye choo kikubwa kama hicho mbona ntaua majirani.
Si unajua tena,, ukibanwa na kiu ya maji!!! Hata ukiambiwa hayajachemshwa hujibu husema "aah mbona nakunywaga"Fikra zenu tu na fahari ya macho. Unaweza kuta huyo na muonekano wake ana mimaji ka mafuriko ya Jangwani. Mzuri akiwa amevaa tu. Uvivu wa kwenda msalani.