Nilitaka kukuacha lakini nafsi ikanusuta kuwa WANAFIKI KWANGU NI MWIKO.Tafakari na hili pia..... VIPI KUHUSI WAKUU WA MIKOA???
Maana mikoani wapo...RPC...RAS...REO...RSO....RPO...n.k VIPI NA WENYEWE WAONDOLEWE??????
Kumbe kama hoja yako ni kuwa wilayan kuna viongozi ulowataja vipi mbona hata mikoani wapo? ????
By the way umesema ma DC hawana qualifications ili achaguliwe...VIPI KUHUSU MAMEYA??? Wana Qualifications gani zaidi ya kuwa wanasiasa??? Ambao ni kujua kusoma na kuandika? ?? Zaidi saana hasa Mameya wa upinzani wengi ni darasa la SABA Tena Failure. ..Mfano...Jimbo la Tunduma.. MBUNGE CDM...DARASA LA NNE....MADIWANI WOTE CDM...DARASA LA SABA. ..MEYA...LA SABA.....NAIBU MEYA....LA SABA.....n.k
My Take:- Punguza Mihemko ya kisiasa
Kama tu vile ambavyo..SHETANI AKIVUKA UZIO NA KUINGIA KWNY KANISA LIITWALO CHADEMA HUBADILIKA NA KUWA MALAIKA! !!! TENA AMBAYE HAJAWAH KUTENDA DHAMBI....Hata kama alishasemwa kwa miaka takribani nane akiiingia tuuuuu mch. MSIGWA humuombea na kuwa MALAIKA wa nuru!!!@! What a tragedy men!!!!!!Nilitaka kukuacha lakini nafsi ikanusuta kuwa WANAFIKI KWANGU NI MWIKO.
Acha JOTO la Lumumba wewe, ni kweli kuwa kuna vyeo ambavyo hakika ni OFA OFA kwa Lumumba kama vilivyotajwa kwa MA RC na Team Yote pamoja na Ma DC na Team Yote.
Usemi huu huenda ukatimia kuwa hata Malaika akishuka CCM haraka atabadilika na KUWA SHETANI ndicho ninachokiona sasa kwani ni ile ile...mbele...kwa mbele....yale yale.. hakuna JIPYA.
nadhani maRC wabaki ili kumwakilisha Rais mikoani. lakini maDC? sioni cha maana wanachofanya zaidi kuongeza gharama za serikali ambazo zingeelekezwa kwenye shughuli nyingine za maendeleo.mkuu wazo langu sio la kisiasa bali ni wazo la Kitanzania. nivumilie ni mtizamo wangu tu! ila tafakari tena na uone ni nini cha kujenga wanafanya hawa maDC zaidi ya kusweka watu rumande. niambie nini kitakosekana au kwenda vibaya wasipokuwepo hawa watu. pia tambua tofauti kati ya wateuliwa wa rais nabwale wa kuchaguliwa na wananchi. mbunge na meya hata kama hajui pamoja na madhaifu yake ndo kapendwa na wananchiTafakari na hili pia..... VIPI KUHUSI WAKUU WA MIKOA???
Maana mikoani wapo...RPC...RAS...REO...RSO....RPO...n.k VIPI NA WENYEWE WAONDOLEWE??????
Kumbe kama hoja yako ni kuwa wilayan kuna viongozi ulowataja vipi mbona hata mikoani wapo? ????
By the way umesema ma DC hawana qualifications ili achaguliwe...VIPI KUHUSU MAMEYA??? Wana Qualifications gani zaidi ya kuwa wanasiasa??? Ambao ni kujua kusoma na kuandika? ?? Zaidi saana hasa Mameya wa upinzani wengi ni darasa la SABA Tena Failure. ..Mfano...Jimbo la Tunduma.. MBUNGE CDM...DARASA LA NNE....MADIWANI WOTE CDM...DARASA LA SABA. ..MEYA...LA SABA.....NAIBU MEYA....LA SABA.....n.k
My Take:- Punguza Mihemko ya kisiasa
Watumishi hewa bila kujijuaKwa heading tu, naunga mkono hoja. Kule wilayani kuna mkurugenzi na meya/mwenyekiti, hao wanatosha sana.
Mifumo ya utawala Tanzania ni tatizo sana....ukuu wa wailaya,ukuu wa mikoa sijui na mazaga zaga gani huko havina maana,ikiwa tuna ongelea ugatuzi wakati mamlaka ya rais ina ingilia utendaji wa halmashauri hakika tutakwenda hivyo hivyo...Wakuu wa wilaya wapo wengi sana. sina hakika na idadi yao ila kwakuwa mikoa iko 26 na kwa wastani kila mkoa una wilaya kama 5 basi hawa ndugu kwa makadirio wako kama 130 hivi, ni wengi mno. hapo wanapatiwa mishahara, posho, magari, nyumba, ofisi, wasaidizi n.k ni gharama nyingi serikali inaiingia kwa kuwatunza au kuwawezesha hawa maDC. najiuliza wana kazi gani ya pekee wilayani? Kila wilaya ina katibu tawala(DAS), mkuu wa polisi(OCD), mkuu wa usalama wa taifa(DSO), afisa elimu(DEO), mkuu wa magereza(DPO), bado kuna mameya na wenyeviti wa halimashauri na kila tarafa ndani ya wilaya ina watumishi. Hawa wakiratibiwa vzr wanafanya kazi zote za mkuu wa wilaya. Au kuna kipi cha pekee anachofanya DC?
Mkuu wa wilaya anabaki kubeba nafasi ya kisiasa isiyo na tija kwa taifa bali ni mzigo. nafasi hii naifananisha na mtumishi hewa ambaye anapata mshahara wa bure bila kazi.
Angalia wakuu wa wilaya huteuliwa mtu yeyote tu, hawana vya pekee bali kula kodi ya wananchi.
Angalia JK aliteua maDC mpaka ikawa gumzo kwa taifa. kwakweli kama serikali inawaza kupunguza gharama naiunga mkono ila itafanikiwa vzr ikituondolea hawa maDC
Mkuu nashukuru kwa mtazamo wako. ..umekuwa constructivenadhani maRC wabaki ili kumwakilisha Rais mikoani. lakini maDC? sioni cha maana wanachofanya zaidi kuongeza gharama za serikali ambazo zingeelekezwa kwenye shughuli nyingine za maendeleo.mkuu wazo langu sio la kisiasa bali ni wazo la Kitanzania. nivumilie ni mtizamo wangu tu! ila tafakari tena na uone ni nini cha kujenga wanafanya hawa maDC zaidi ya kusweka watu rumande. niambie nini kitakosekana au kwenda vibaya wasipokuwepo hawa watu. pia tambua tofauti kati ya wateuliwa wa rais nabwale wa kuchaguliwa na wananchi. mbunge na meya hata kama hajui pamoja na madhaifu yake ndo kapendwa na wananchi
Msipobadilika na kubadili mfumo wa kufikiria kwa kutumia viungo vya mwili kwa ufasaha hakika moto wa jehanam ni halali yenu kwani itakuwa umedhihaki uumbaji wa Mungu na kazi yake badala ya kutumia TUMBO kuhifadhi chakula mnatumia KUFIKIRI.Kama tu vile ambavyo..SHETANI AKIVUKA UZIO NA KUINGIA KWNY KANISA LIITWALO CHAGADEMA HUBADILIKA NA KUWA MALAIKA! !!! TENA AMBAYE HAJAWAH KUTENDA DHAMBI....Hata kama alishasemwa kwa miaka takribani nane akiiingia tuuuuu mch. MSIGWA humuombea na kuwa MALAIKA wa nuru!!!@! What a tragedy men!!!!!!
Hapa ni kujua majukumu tu ya watumishi hao.Development Studies inahusika hapa
Wafute hivyo vyeo, tena waanzie Dar es salaam.Ni kweli hakuna haja ya kuwa na ho ma RC hata kidogo.
Hata hivyo kama ukikumbuka chanzo cha kuanzishwa kwa RC post ilikuwa ni kuwatuliza wanajeshi na kuogopa baadhi ya mikoa kujitenga kipindi kile, hivyo ilikuwa ni kwa security reasons ndio maa unaona wengi huwa ni makannali fulani au wanjeshi wastaafu.
Wakati wa sasa na zamani si sawa tena, ndio maana katika hiyo katiba mpya moja wapo tutakalopenda kuangalia ni kutoa hizo nafasi zote kabisa pamojana DC zote hizo nafasi zimeshakuwa ni ulaji tu wa kisiasa zaidi.
Je wakitoka tutapenda hizo nafasi ziweje??
je zisiwepo kabisa?
au kuwe na magavana watakaokuwa wanateuliwa na wananchi ambao wanaweza kuwajibishwa na wananchi waliowachagua??
au amaoni yenu ni yapi?