Kweli siku hizi tunadanganyana

Kweli siku hizi tunadanganyana

mimba katoa zaman kabla hamjakutana, sasa tatizo lipo wapi, kama anakucheat mpaka saiv piga chini,
 
ww kujua yaliyopita inakusaidia nn?
km mtu kajitambua na kaamua kuanza upya huna sbb ya kumuona namna gani vp
 
Ndio unayajua leo hayo ?? Pole sana. Unachelewa kujifunza. Wenzio mapenzi ya kweli tulishayasahau kama yana exist.
Kua makini na viumbe hvi. (Akili Kumkichwa)

mapenzi ya kweli yapo na yana exist
wala hyo siyo sbb ya mtu kutokuwa na mapenzi ya kweli
 
Back
Top Bottom