Hak
Hakuna mchamungu anayezini chief , hii either ni chai au unaoa tu muislam maana kuna tofauti kati ya muislam na mchamungu hata Allah aliwatenga hivyo.
Muislamu:
anaswali swala tano, anajistiri anatoa zaka na swadaka lakini makatazo ya Allah hayazingatii akidhani kwamba akifanya mema yatafuta yale mabaya anayofanya kumb3 anachanganya maji na mafuta.
Mchamungu:
kwa kifupi anafanya yoote anayofanya muislamu na anafuata makatazo ya mwenyezi mungu na anafanya mengi yanayomsogeza karibu kabisa na mwenyezi mungu .
Hope umeelewa now una date(kwenye uislamu hakuna ku date kama umempenda na unasifa za ndoa ya kiislamu ambazo ni simple sana oa sheria ipp hivyo) ,na mtu wa aina gani huyo hata kama ana bikra si kigezo cha yeye kuwa mchamungu .
Kingine hebu acha kumdhihaki allah mkuu, sawa wote tunafanya maovu either kwa kupenda au kutopenda ila hatutumii jina lake kwenye utopolo kama huu ulioandika .
No offence .