the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,573
- 2,940
Niaj wakuu,
Kuna jambo moja la ajabu sana japo wanasema wanaume tumeumbiwa tamaa lakin nikisema niendekeze hii tabia mwisho wake mbaya kipind cha nyuma kwel nilikuw chovya chovya sana nakumbuka kuna siku mwaka jana mwanzon kabisa nikaamua kuomba dua Allah anijalie mwanamk mzur mchamungu kwel bhas Lahaullah nikapata mtoto mmoja mzur sana mrembo haswaa mtoto mweupeee hawez kutembea kichwa wazi na kizur zaid ambacho nilikipenda kwake alikuwa BIKRA kwahy tukacunja nazi japo nilimuahid lazima nikuoe bhas na mm sikuona hajizi nikaend kujitambulisha kwao na kutoa mahar tayari kabisa nikajiapiza nitulie tuli niachane na michepuko sas naona hii 2much wanajileta sana km siku ya leo madem watatu wameomba appointment ya kuniona nikawajuza kwangu kuna mgen ambae ndio huyu mwanamke wangu kwahy siwez mmoja ni mwanachuo kamaliza mitihan jana kwahy akaniambia jmos lazima ni mgegede mwingin kanipigia simu asbh yupo uhasibu kaniambia atakuja sa2 ya usiku na watatu yupo anaishi kigambon ndio kanipigia simu saiv ananiambia anajianda akiwa tayar atanijuza na mwingin ni nesi muhimbili aliniahid kesho jumapili atakuw off ili nimpe DUSHELELE na wote nimewaambia ninamgeni kwangu kwahy wamekubali twende lodge lkn kila nikimuangalia mwanamke wangu ni mpole mchamungu kwel anaswali swala 5 roho inanisuta sana japo nimewakubalia wote kwa siku ya leo lkn roho inanisuta na kuzodoa nakiri kusema sijawai pata mwanamke wa aina hii sihitaj itoke siku nije nimkwaze namuheshimu sana sas najiuliza haya mambo niyakwepe vipi najitahid sana mpk mda mwingne nasema Allah aniondole tamaa kabisaaa nisije kutaman mwanamke yoyt lkn ndio wanajileta wenyew maex zangu wawili mmoja nae yupo arusha kila akinipgia simu ananiambia ww hata km unamwanamk wako lkn nikja dar siwez kukubania sina nguvu za kukunyima lazima tupashe kiporo sas najiuliza haya mambo ni yakwepe vipi japo nakuwa smart sana ila kuhusu kuwa handsome hilo mm silijui sas najiuliza nn shida mpk inafika kipind kaka angu na washkaj wananiambia ninadawa ya kuwavuta wanawake sijui nifanye vipi wanawake wasijilete ovyo ovyo au kujirahisisha kwangu ninaeza nikakutana na mwanamke hv leo kesho nikamuita geto nikamla had ananiambia “sijui hapa kwako nmefikaje fikaje kirahisi hv mm sijawai kuwa namna hiv”hii kauli nishaambiwa saaan na wanawake weng wakuu naomben ushaur hii kitu inatokana na nn au nifanyaje zaid ili haya mambo yasije kunitokea puani
KWA USHAURI ZAIDI NIPO TAYAR KUPOKEA