Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
- Thread starter
- #21
Bora nawe umwambieSala sio kitu kidogo
Bora nawe umwambieSala sio kitu kidogo
Je? huwa unasali tu pale ukipatwa na tatizo..?Ahsante,watatambua tu muda wao wa kutambua ukifika.
Kusema kweli mwanzo sikua nasali hata nikipatwa na tatizo zaidi nikienda kanisani tu basi napo kanisani kwa nadra but kuanzia sasa nimejiwekea utaratibu wa sala.Je? huwa unasali tu pale ukipatwa na tatizo..?
Sawa kaka yangu,nimekuelewa.sawa sawa mdogo wangu isiwe leo tu sari daima
Niko sawadada usilee matatizo nenda hospitali, ukizingatia wewe mjamzito
wewe bisha hivyo hivyo,Niko sawa
Amini hivyowewe bisha hivyo hivyo,
Mithin yuuu....Ni kweli sala ni muhimu mno, lakini ukijisika hivyo next time nenda hospital. Vifo vingi nchi hii hutokea kwa sababu ya mambo kama haya.
Okay dear usijali nimekuelewa but now am okayKwa hali yako ya afya ilivyo kwa sasa ni vema pia ukamuone daktari, We still need you and our jf baby... a.k.a Kijacho.
Sawa nimekuelewa.Ni kweli sala ni muhimu mno, lakini ukijisika hivyo next time nenda hospital. Vifo vingi nchi hii hutokea kwa sababu ya mambo kama haya.
Hunishindi...Mithin yuuu....