Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
ππππππππMwanaume anayebeti ni tabu. Muda wote wewe unawaza mahaba yeye karoho juu juu kama mwewe kuchungulia tuu mikeka yake.
ππππππππMwanaume anayebeti ni tabu. Muda wote wewe unawaza mahaba yeye karoho juu juu kama mwewe kuchungulia tuu mikeka yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha hiki kisa kuna omba omba mmoja alifika kwenye gari la mtu akaanza kuomba sasa mwenye gari akampa sh 200 yule omba omba akamtupia hela yake eti ni ndogo weee nasikia watu walimkung'uta vibaya hovyo kwamba anajikuta masikini jeuri yaani ana shida halafu analeta dharau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukipewa sh.500 au buku usianze lawama za hela gani hii!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha hiki kisa kuna omba omba mmoja alifika kwenye gari la mtu akaanza kuomba sasa mwenye gari akampa sh 200 yule omba omba akamtupia hela yake eti ni ndogo weee nasikia watu walimkung'uta vibaya hovyo kwamba anajikuta masikini jeuri yaani ana shida halafu analeta dharau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
shwaini huyo hata mimi ningemzaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha hiki kisa kuna omba omba mmoja alifika kwenye gari la mtu akaanza kuomba sasa mwenye gari akampa sh 200 yule omba omba akamtupia hela yake eti ni ndogo weee nasikia watu walimkung'uta vibaya hovyo kwamba anajikuta masikini jeuri yaani ana shida halafu analeta dharau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]kabisashwaini huyo hata mimi ningemzaba
π π π LMAO,Lol..my faculty of intuition can quickly detect your hidden untold propensity from your involuntary self-divulgence.
Say holla to your Teddy bear, i bet he's warming up time at momentπ
Kuna mmoja alikuwa anapenda kukaa pembezoni mwa barabara, na muda mwingi kila nikipita lazima nimuachie pale pesa.!! Siku hiyo napita zangu sina hili wala lile walaqhi alinivuta mguu nikateleza kidogo nianguke, nilimind jamani, nikawa napita upande wa pili na kumpaga hela nikaacha.!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha hiki kisa kuna omba omba mmoja alifika kwenye gari la mtu akaanza kuomba sasa mwenye gari akampa sh 200 yule omba omba akamtupia hela yake eti ni ndogo weee nasikia watu walimkung'uta vibaya hovyo kwamba anajikuta masikini jeuri yaani ana shida halafu analeta dharau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aloo!! Ningekuwa ndio mimi amenirushia hiyo hela ningemtemea na makoozi kabisa huyo omba omba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha hiki kisa kuna omba omba mmoja alifika kwenye gari la mtu akaanza kuomba sasa mwenye gari akampa sh 200 yule omba omba akamtupia hela yake eti ni ndogo weee nasikia watu walimkung'uta vibaya hovyo kwamba anajikuta masikini jeuri yaani ana shida halafu analeta dharau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaonekana una mikwara sasa wewe mtoto wa kike, na siku zote watu wenye mikwra wako too talkative[emoji16][emoji16]Hivii wakiitwa wenye kidomo domo unaweza simama kwa ujasiri ukaniita??
I see it even before you let it out, you really enjoying bed of roses now days..no more crying and wailing of disappointments[emoji23] [emoji23] [emoji23] LMAO,
you real sth Lizarazu,
Hell yeah'..!! t'bear is always by my side enjoying my warmth huggies..!!
Eeh, majukumu ya kifamilia yalikuzidi.Sikukimbia ni vile majukumu ya kifamilia yalinizidi, 'ifu yu no whari ai min'..! π π
Huo ugomvi pambana nao tu, na kauli mbiu ya sasa unaijua, 'kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe'..!!
Ha ha ha nimekumbuka kitu nikacheka mwenyewe.Na bado wanabisha kuwa wanawake tuko na nguvu ya ushawishi, we can make anyone dance in our beats, tukiweza tu kuitumia ipasavyo nguvu ya kiasili tuliyopendelewa nayo..!!
Afanye kazi za ndani? Atashusha magazeti hapa, atamuita na zurii na yule nyerere na lizarazu na yule kaka mwenye jina refu.Ah huyo mbona alishasema tangu zamani kwamba hataki mwanamke atakayemtegemea kiuchumi, ila muambie na yeye afanye kazi za ndani uone hilo varangati lake
Eeh, mimi nilikuta tuu mnamsifia sijui six packs ila sikiona.Haa hivi kumbe naye alifuta?? Makubwa!!
Ni wazinguzi[emoji57]Ndio walivyo hao.
I appreciate.You loyal.
Ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ushauri wako umekaa kilokole lokole[emoji4][emoji4]