Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

My expectation you won't come with vengeance coz my explanations are no where close to opprobrium.
Nuh' nuh'... Vengeance ain't my thing, I'll only give you the taste of your own medicine..!!
 
Yaani sijui walimfanya nini
Hata Mimi huwa sipati majibu..
Ila Kuna sehemu alisema alikuwa anatumia pocket money anayopewa nyumbani kumnunulia dada mazagazaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa huyu dada sijui imlisha sumu gani Hadi amekuwa mtu wa kutunyambua wadada huku[emoji23][emoji23]
 
Yaani Lizarazu ndiyo alikuwa anatumia pocket money yake kumhonga mpenzi wake au??
 
Hivi hukuona ile comment eeh??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakwama wapi???
Unashinda humu muda wote halafu unapitwa[emoji23]
Alielezea jinsi Huyo bidada mwanachuo alivyommalizia Pocket money [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanachuo Mungu anawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kanitag nikaone
 
Back
Top Bottom