Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

Nina nawasiwasu wewe hujaolewa na ndio maana kila anaekuomba ushauri unamwambia eti waachane huona kama wewe ndo unachangia wapendanao wavurugane zaidi
Ni bora ni mshauri mwanandoa avumilie lakini siyo hawa wa leo huku kesho kule.!
btw, sasahivi sitoi ushauri wa kuachana hata kidogo.!!
 
Biashara ya kitandani ndio mpango... Pakiharibika kitandani ushauri wa "Ondoka".. Unatekelezeka... Ila nyama kwa nyama,.. Inafanya magumu yote kuwa marahisi....
Naomba nieleweshe mkuu, biashara ya kitandani vipi..!
 
The worst thing is that, i am not ready to have her as a w*f*,and she doesnt accept that fact....She is now using my friends to getvto me again since i stopped communicating with her.... I dont want to torture her in anyway, i thought it will go smoothly..😐
Chagua kuwa naye, ama simamia msimamo wako kama mwanaume!
Choose wisely..!!
 
Hi guys,
Mwajionaje na khali.? How's weekend outta there??
Natumaini mnaendelea tu poa, so am I..!!

Nimejiuliza nikashindwa kupata jibu hivi ni kwanini pale tunapoumizwa na kupatesekea sana ndo pahala amani yetu ya mioyo inapopatikana? Mtu ashauriwe hata kirumi bado atarudi tu mulemule!

Nitasemea haya matukio machache kati ya mengi yaliyopo.!!

tukio la 1, nilikuwa nina rafiki yangu ana mtu wake walikuwa wanapendana sana, (hii ni tofauti na ile niliwahi iletea bandiko humu maana wale waliachana)..! Sasa this couple wameishi kwa muda kweli wakiwa kwenye mapenzi yale ya kihindi na kifilipino kabisa!
Kama kawaida kashetani kakaingilia kati, dada akaanza kupigwa, mwanzoni vilikuwa vipigo romantic vile ambavyo haviumi sana, ila as days passes by akaanza pigwa kweli ile ya mikanda mpaka kuvimba na imagine ni keupe pee'..!!

Sasa kipigo kikubwa kabisa huyu rafiki yangu huyu akawa ananificha maana nilishamshauri sana ila anampotezea kidogo then anarudi, kapigwa mpaka ngozi haifai imeharibika, halafu kakaa humo ndani mwanaume anamkanda mwenyewe, hajasema kwa yeyote yule! kaja nitumia picha baadaye kabisa, kiukweli nililia nikaleta noma sana..!!
Akanambia kaniomba msamaha nimeshamsamehe, wakati hapo me nna hasira kama vile nimepigwa mimi,.
Matokeo yake binti sahii ana mimba ya yule mshkaji kuuubwa, nakaribia zangu kuwa auntie,

tukio la 2, nina jirani yangu wa kiume huwa ananichukulia kama dada yake, he was dating this girl yaani ako humble na ni wife material hasa jamani, mstaarabu mpaka basii! Anakuja anamfanyia kila kitu kijana wa watu,

Mwisho wa siku, this guy nafsi inamsuta maana binti wa watu kawiva kwa ndoa naye hana mpango wa kuoa Leo wala kesho wala mwakani kwa mipango yake, so akaona kama anamchelewesha dada wa watu kupata mtu sahihi na wakati binti tayari anajua huyu ndo mumewe,

Ikabidi amuite amuambie ukweli akipata mtu sahihi aolewe tu, sababu yeye wazazi wake wamegoma aoe mkoa aliopo tofauti na kabila lao(hapa alidanganya).. Dada wa watu alilia kidogo achizike,

Kijana akaniomba dada please talk to her, me hapa nitampotezea tu muda.! Wengine ushauri ndo vitengo vyetu, nikaongea na yule dada jamani mpaka nikaona ushauri unanirudia.!! Zile za muache tu MUNGU atakupatia mtu sahihi..!!

Haya mwana kiranga mie baada ya siku chache naamka asubuhi, napishana na binti na kanga yake moja koridoni asubuhi na mapema.! Washarudiana.!!

tukio la mwisho, ndugu yangu anamdate huyo kaka ni mnywaji kupindukia, inafikia pahala pesa za mrembo ndo zinatumika kula bata na rafiki zake, na akirudi anamuhadithia walivyolewa!

Mrembo anaenda kwake ndo anai take care ile nyumba kama yake, akitoka hapo analalamika guy hamsaidii wala kumjali kwa chochote kile hata siku moja! Binti yeye ndo anadangwa anavumilia kisa kaahidiwa ndoa so anahisi anapimwa uvumilivu.!

Anakuja analalamika, unamshauri weeh' mpaka maneno ya busara yanakuishia, siku 2 3 kesharudi na hakuambii mpaka apigwe tukio tena!

Ukimuuliza hivi tulikubalianaje?? Anakujibu 'sasa mumie me nitafanyaje'..?? So, I was like okay, this time pambana tu, muombee atabadilika.!!

'Nilichojifunza sahii, mtu akiniletea kesi yake ya mahusiano namuambia kuwa mvumilivu tu utayashinda, Kumshauri mtu tena eti 'achana naye', Miiimi?? Hapana kila mtu sahivi anyanyasike zake tu mpaka aondoke mwenyewe, nimekoma'..!!

Ni mwendo wa 'maumivu per day', kila mtu aubebe msalaba wake mpaka Golgotha..

Nice Weekend dears!
Mbona ile yako hutwambii mkuu?
 
Hivi watu waseme mara ngapi ndo mueleweee...!!!

Achana na mambo ya watu wanaovuana nguo. Huna uwezo wakufanya chochote kati yao, labda umuwekee sumu mmoja afee..

Huyo wife material uliyemshauri kuwa anapotezewa muda, mwenzio alidhani we unamtaka huyo bwana, ndio maana kahamia kabisaa... halafu akiwa kitandani na mwenzie anamuhadithia yote uliyomshauri.

Yani hata ndoa yangu mwenyewe mimi sina habari nayo. Jana wifi yako ameenda kwenye party usiku, hivi muda huu ndo namsikia anafunguliwa geti, yani ndo anarudi, mi sinaga habari. Ngoja nikamtafutie supu aje azimue.
 
Nawaelewa vizuri sana mnaosema tu-control lakini mbona hamsemi una control vipi??
Hapo namaanisha zizuie hisia au punguza miemko ya mapenzi juu ya mtu fulani kinyume na hapo utaumizwa au niseme usionyeshe mapenzi yaliyopitiliza kwa mpenzi wako ila kama ukiona vyote umeshindwa kuwa bachelor tu usijiusishe na mapenzi hili kuzuia maumivu natumai umenisoma
 
Hivi watu waseme mara ngapi ndo mueleweee...!!!

Achana na mambo ya watu wanaovuana nguo. Huna uwezo wakufanya chochote kati yao, labda umuwekee sumu mmoja afee..

Huyo wife material uliyemshauri kuwa anapotezewa muda, mwenzio alidhani we unamtaka huyo bwana, ndio maana kahamia kabisaa... halafu akiwa kitandani na mwenzie anamuhadithia yote uliyomshauri.

Yani hata ndoa yangu mwenyewe mimi sina habari nayo. Jana wifi yako ameenda kwenye party usiku, hivi muda huu ndo namsikia anafunguliwa geti, yani ndo anarudi, mi sinaga habari. Ngoja nikamtafutie supu aje azimue.
Hahahahahaa..!
Mkuu unavumiliaje?? Mbona huo moyo mie sina na huu wivu!!?
Kuhusu huyo binti, huyo mdogo wangu ndo aliniomba nizungumze naye, Na binti hawezi fikiria hivyo sababu me na hako katoto kenzie hatuendani kabisa!
Nahisi itakuwa ameridhia kuwa kwa yale mahusiano ya 'no strings attached'..!!
 
Hapo namaanisha zizuie hisia au punguza miemko ya mapenzi juu ya mtu fulani kinyume na hapo utaumizwa au niseme usionyeshe mapenzi yaliyopitiliza kwa mpenzi wako ila kama ukiona vyote umeshindwa kuwa bachelor tu usijiusishe na mapenzi hili kuzuia maumivu natumai umenisoma
Nimekuelewa mkuu, hivi bachelor wa kike anaitwaje vile?
 
Hi guys,
Mwajionaje na khali.? How's weekend outta there??
Natumaini mnaendelea tu poa, so am I..!!

Nimejiuliza nikashindwa kupata jibu hivi ni kwanini pale tunapoumizwa na kupatesekea sana ndo pahala amani yetu ya mioyo inapopatikana? Mtu ashauriwe hata kirumi bado atarudi tu mulemule!

Nitasemea haya matukio machache kati ya mengi yaliyopo.!!

tukio la 1, nilikuwa nina rafiki yangu ana mtu wake walikuwa wanapendana sana, (hii ni tofauti na ile niliwahi iletea bandiko humu maana wale waliachana)..! Sasa this couple wameishi kwa muda kweli wakiwa kwenye mapenzi yale ya kihindi na kifilipino kabisa!
Kama kawaida kashetani kakaingilia kati, dada akaanza kupigwa, mwanzoni vilikuwa vipigo romantic vile ambavyo haviumi sana, ila as days passes by akaanza pigwa kweli ile ya mikanda mpaka kuvimba na imagine ni keupe pee'..!!

Sasa kipigo kikubwa kabisa huyu rafiki yangu huyu akawa ananificha maana nilishamshauri sana ila anampotezea kidogo then anarudi, kapigwa mpaka ngozi haifai imeharibika, halafu kakaa humo ndani mwanaume anamkanda mwenyewe, hajasema kwa yeyote yule! kaja nitumia picha baadaye kabisa, kiukweli nililia nikaleta noma sana..!!
Akanambia kaniomba msamaha nimeshamsamehe, wakati hapo me nna hasira kama vile nimepigwa mimi,.
Matokeo yake binti sahii ana mimba ya yule mshkaji kuuubwa, nakaribia zangu kuwa auntie,

tukio la 2, nina jirani yangu wa kiume huwa ananichukulia kama dada yake, he was dating this girl yaani ako humble na ni wife material hasa jamani, mstaarabu mpaka basii! Anakuja anamfanyia kila kitu kijana wa watu,

Mwisho wa siku, this guy nafsi inamsuta maana binti wa watu kawiva kwa ndoa naye hana mpango wa kuoa Leo wala kesho wala mwakani kwa mipango yake, so akaona kama anamchelewesha dada wa watu kupata mtu sahihi na wakati binti tayari anajua huyu ndo mumewe,

Ikabidi amuite amuambie ukweli akipata mtu sahihi aolewe tu, sababu yeye wazazi wake wamegoma aoe mkoa aliopo tofauti na kabila lao(hapa alidanganya).. Dada wa watu alilia kidogo achizike,

Kijana akaniomba dada please talk to her, me hapa nitampotezea tu muda.! Wengine ushauri ndo vitengo vyetu, nikaongea na yule dada jamani mpaka nikaona ushauri unanirudia.!! Zile za muache tu MUNGU atakupatia mtu sahihi..!!

Haya mwana kiranga mie baada ya siku chache naamka asubuhi, napishana na binti na kanga yake moja koridoni asubuhi na mapema.! Washarudiana.!!

tukio la mwisho, ndugu yangu anamdate huyo kaka ni mnywaji kupindukia, inafikia pahala pesa za mrembo ndo zinatumika kula bata na rafiki zake, na akirudi anamuhadithia walivyolewa!

Mrembo anaenda kwake ndo anai take care ile nyumba kama yake, akitoka hapo analalamika guy hamsaidii wala kumjali kwa chochote kile hata siku moja! Binti yeye ndo anadangwa anavumilia kisa kaahidiwa ndoa so anahisi anapimwa uvumilivu.!

Anakuja analalamika, unamshauri weeh' mpaka maneno ya busara yanakuishia, siku 2 3 kesharudi na hakuambii mpaka apigwe tukio tena!

Ukimuuliza hivi tulikubalianaje?? Anakujibu 'sasa mumie me nitafanyaje'..?? So, I was like okay, this time pambana tu, muombee atabadilika.!!

'Nilichojifunza sahii, mtu akiniletea kesi yake ya mahusiano namuambia kuwa mvumilivu tu utayashinda, Kumshauri mtu tena eti 'achana naye', Miiimi?? Hapana kila mtu sahivi anyanyasike zake tu mpaka aondoke mwenyewe, nimekoma'..!!

Ni mwendo wa 'maumivu per day', kila mtu aubebe msalaba wake mpaka Golgotha..

Nice Weekend dears!
3 people you can't advise
A woman in love
A man with money
A drug addict
 
Back
Top Bottom